hizi ajira mpya nani kazisoma

KING KUBE

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
12
Reaction score
1
jamani nani kaona tangazo la nafasi kibao serikalini weekend hii utumishi atujuze maana wengine tunafungua lakini atuoni.
 
sio ajira mpya ni kuitwa kwny usaili na ajira mpya zikikuwepo ila mwisho ilikuwa jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…