king Abeilo
Member
- Oct 22, 2017
- 38
- 34
Habarini za muda huu wana jamvi hivi ile kesi ya mfanyabiashara wa Tarime inaendeleaje kule mara
DPP Biswalo Mganga alithibitisha Zakaria kuachiwa kwa dhamana tangu Machi 25, 2019.Habarini za muda huu wana jamvi hivi ile kesi ya mfanyabiashara wa Tarime inaendeleaje kule mara
yasemekana ame paralys (sijui ndio inaandikwa hivi)DPP Biswalo Mganga alithibitisha Zakaria kuachiwa kwa dhamana tangu Machi 25, 2019.
Kwa mujibu wa DPP, Peter Zacharia hajafutiwa kesi. Bali aliachiwa kwa dhamana.
Alichomwa sindano ya kuparalys coz wakijua kwenye keshi watashindwayasemekana ame paralys (sijui ndio inaandikwa hivi)
duh ila mzee wanasema alikuwa mtata sana zamaniAlichomwa sindano ya kuparalys coz wakijua kwenye keshi watashindwa
aliwaua na kuwapiga,yani aliwawahi,yah ni huyoNdo yule jamaa alipigana na TISS hadi kuwashinda