Hivi Wezi wa Escrow wapo CHADEMA?


kwa upeo wangu lowasa hata angsimama kama mgombea binafsi wangesemaje?
 
Dr slaa kapuliza dawa ya mende shimoni; lazima watoke...............................................
Tumeona, mbatia,

Tumeshaamua kura zetu kwa Lowasa tuu
 
Tumeshaamua kura zetu kwa Lowasa tuu

MPAKA TAREHE 25th

lazima fisadi Rostam AJIBIWE; Ipupizwe dawa nyingine.... naona na mbowe anachungulia kutoka nimesikia na kitikio cha treni.

Watakuja kina rugemalil.a;

Nchi hii sio shamba la bibi walishatoka CCM hakuna wa kuwakingia kifua lazima tufe nao either sisi au wao.

jeshi la polisi alihusiki huyu ni mfungwa huru uraiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…