Hivi watanzania nani katuloga?? Eti mara hii tumeyasahau haya!!

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,115
Kila nikifikiria nakosa majibu sahihi , labda wenzangu mtanisaidia. Hivi watanzania kama taifa nani kapumbaza akili zetu?? Nani katuloga hadi tumefikia hali hii?? Hivi haya yangefanyika nchi zingine wangekubali yapite kama vile hakuna lililotokea?

Uchaguzi wa mwaka jana tumepolwa waz waz na wao walijiandaa kutupola na ndio maana walileta vifaa kibao vya kutudhibiti tutakapo dai haki yetu, matokeo yake hiyo haki hatujaidai wala nini tupo kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Wametucheka mpaka yale magari ya kutuwashawasha wameyapeleka kumwagilia baada ya kukosa kazi walioikusudia. Tuna nini sisi??? Nani katuloga tusijitambue??

Escrow wamepiga hela mara mbili awamu ya mwisho ingekua ushahidi wa kudai hela zetu matokeo yake tuko kimya kama vile wametuibia elfu kumi. Wakati zile hela zingetosha kujenga nyumba za wafanya wote nchi nzima hata madarasa ya shule ya msingi.
Tumelogwa na nani wapendwa hadi mali zetu wanagawana tunapiga makofi??

Wamemuua Mawazo mchana kweupe tumelia lia wee hadi limepita hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa? Nani katuloga tusimpiganie mwenzetu kuwasaka wauaji wake?? Kutegemea police kila kitu ni kuchelewa maana sisi tupo kila sehem ni rahisi kufanya upelelezi tukiamua kuliko police. Je police wakiamlishwa wasipeleleze ndio basi kweli?? Hapana tumelogwa

Ben saa nane kapotea juzi sion dalili njema za kuisukuma serikali iwajibike kujibu tuhuma dhidi ya beni ili khali kuna sms za vitusho beni aliwqhi kutumiwa na alilipoti. Tungeanzia hapo tungepata ukweli. Tuko kimya mwisho beni atapotea kweli.
Yaan tunaelekea kusahau inaniuma sana sana. Sijui nani katuloga mpaka tumekua hivi..

Nitalia zaid na vijana wenzangu. Wazee wetu inaweza kuwa zama yao ilipita walituletea uhuru lakn uhuru huo Hatutaki kuutumia vyema matokeo yake tunarudi nyuma mara 100 kwa kukosa maamuzi ya kifikra na maamuzi ya kimwili. Tunaogopa kufa kama tutadumu milele. Tuamke kulitetea taifa kwa hali yeyote ile. Hii nchi Haijawahi kuwa ya viongozi pekee. Kiasi kwamba watushike akili maamuzi yote wafanye wao kama miungu watu. Haiwezekani. Vinginevyo tutalifanya taifa hili kuwa maabara ya kujifunzia watawala wabovu namna ya kuburuza wanadamu. Tusikubali kuendelea kukumbatiwa na huyu mchawi anaye tuloga, hebu tuamke tujue mchawi wetu ni nani.

Nauliza tena ni nani katuloga mpaka tumekua watu waoga kiasi hiki?? Tukumbuke woga ndio unaotusumbua. Nani katuloga????
 
Umechanganyikiwa na ada za January Bro! Mbona nakuona kama hauko sawa? Mambo yaliyoenda kombo awamu zilizopita yote yanashughulikiwa awamu hii. Unataka nini zaidi ya hapo? Hao hao unaotaka kuwapigia debe ndiyo walivuruga mbaya awamu zilizopita. Kuhamia upande wa pili ndiyo wamekuwa malaika? Haya twende, hao wengine ambao walipiga kelele mpaka mishipa ya kichwa kuwatoka kumbe ni wabaya kuliko waliokuwa wanawasema hadharani. Sikuamini kama watu walifikia hatua hata ya kujimilikisha majengo ya NHC na kuua mabenki ya selikari kwa kukopa na kutokurudisha. Ndiyo unaowaona wakombozi wako? Nonsense! Kaa jiulize upya. Kwa taarifa yako tu si kila mtu ni mbumbumbu na kwamba hatujuwi kufuatilia vitu. Acheni selikari ifanye kazi yake. Polojo hazina nafasi tena.
 
11420830_1925016027723855_231989111_n.jpg
 
Mkuu kwahyo unataka tuingie msituni au?
Tanzania yetu twaipenda magufuli anafanya vzr japo kuna matatu manne anayoboronga...
Suala la kumtia hatian boss Wa kijiwe hiki linaumiza sana wakat hii ndio sehem ya watu kutolea malalamiko yao na kupashana habar za utendaji wake...

Huku kwetu kijiji cha ujamaa TV ipo kwa mjumbe Wa nyumba kumikumi pekee.. Ila tunajua yanayoendelea dunian kwasababu jf... Long live max hayo ni mapito kaka tuko nyuma yako
 
tanzania-643457_640.png
 
Jitambulishe kwanza kwa jina lako makazi na kazi yako kisha tuanzie hapo sasa.
 
Umechanganyikiwa na ada za January Bro! Mbona nakuona kama hauko sawa? Mambo yaliyoenda kombo awamu zilizopita yote yanashughulikiwa awamu hii. Unataka nini zaidi ya hapo? Hao hao unaotaka kuwapigia debe ndiyo walivuruga mbaya awamu zilizopita. Kuhamia upande wa pili ndiyo wamekuwa malaika? Haya twende, hao wengine ambao walipiga kelele mpaka mishipa ya kichwa kuwatoka kumbe ni wabaya kuliko waliokuwa wanawasema hadharani. Sikuamini kama watu walifikia hatua hata ya kujimilikisha majengo ya NHC na kuua mabenki ya selikari kwa kukopa na kutokurudisha. Ndiyo unaowaona wakombozi wako? Nonsense! Kaa jiulize upya. Kwa taarifa yako tu si kila mtu ni mbumbumbu na kwamba hatujuwi kufuatilia vitu. Acheni selikari ifanye kazi yake. Polojo hazina nafasi tena.

Hahahahahahaha! Nyangomboli, acha izo mm nimecheka hapa ulipouliza umechanganyikiwa na ada za january bro? yaani inaweza kuwa kweli maana ukicheki tarehe zinakaribia na account inaread vibaya lazima mtu povu limtoke namna hii.
 
Tumbua tumbua tumbua tumbua maji safi naya uhakika je?umeme wa uhakika je?mikopo kwa wanafunzi je?barabara je?foleniDarar je? Tunasubiri milion 50 kila kijiji.hizo ndo ahadi na Tanzania ya viwanda.
 
mtoa post uko sahihi sana lkn nature ya nch h n kuwa kiongoz wa kwanza aliyetwaa uhuru kutoka kwa wakolon weupe ndo aliye2loga jib rais,alitengeneza mazingira ya kuwaweka wananch wake kuwa waoga sana ktk kuhoj mambo ya gvt ingawa kunamaeneo alifanya vzr sana tena sana mf,kuwaunganisha watanzania kuish kwa ujamaa ingawa kunadalil ya kuvuruga h hal lkn pia kwa upande wa viongoz wa sasa hasa upinzan hawana nia ya dhat ya kuwasaidia watanzania il hal wanaona watawala walipta na waliopo hawatend mambo sawa,upinzan kaz yake n kukosoa na kutaka kushka dola lkn viongoz wa upinzan wanawaacha wapiganaj njia panda mf,kifo cha mawazo ambae alikuwa kijana mpigania hak na kuacha kaz yake serikaln,kifo cha mtangazaj wa startv na leo saanane hawa wote kwa ujumla wao walikuwa na nia ya kupigania hak lkn cha ajab viongoz we2 wa upinzan huwa hawako active kama viongoz wa upinzan wa nch nyingne,mfano malema wa afrka kusin,upinzan uganda nk hawa kwel wako active na kutetea hak za raia lkn akina mbowe hawako hvyo,leo lema lkn no!
 
Uganda Sio?
1482061195846.jpg
1482061329474.jpg
 
Mmengine mkikumbushwa hamtaki kukumbuka mshayasamehe,sasa kuna haja gani ya kuendelea kuyakumbuka hayo.
 
Mkuu kwahyo unataka tuingie msituni au?
Tanzania yetu twaipenda magufuli anafanya vzr japo kuna matatu manne anayoboronga...
Suala la kumtia hatian boss Wa kijiwe hiki linaumiza sana wakat hii ndio sehem ya watu kutolea malalamiko yao na kupashana habar za utendaji wake...

Huku kwetu kijiji cha ujamaa TV ipo kwa mjumbe Wa nyumba kumikumi pekee.. Ila tunajua yanayoendelea dunian kwasababu jf... Long live max hayo ni mapito kaka tuko nyuma yako
Huyo mjomba hajatiwa hatiani,bado ni mshitakiwa au hilo.nalo Ni gumu kwako?
 
RIP Jomo Kenyatta alimwambia mwalimu anaongoza maiti yeye anaogonza wagonjwa mahututi na ni kweli
 
Mfate huyo Kenyatta wako hukohuko kaburini kama unafananisha anayeongoza TANZANIA sawa na anayeongoza maiti.Mijitu mingine inaongea km vile si watanzania!!!!Kwa mantiki hiyo hata wewe ni maiti
 
Back
Top Bottom