Ni jambo linalotia hasira sana kusikia udharimu unaofanyika ndani ya hii nchi.
Watanzania tumefanywa watoto wadogo wanaomlilia mama yao halafu anawanyamazisha kwa pipi wakat yeye amejikusanyia vitu kibao vyenye thaman.
Inasikitisha kuona mfanya kazi analipwa mshahara chini ya laki3 kwa mwez wakat wabunge wanachukua zaidi ya laki3 kwasiku, inasikitisha kuona mwalimu halipwi mshahara wake kwa wakat huku akikandamizwa na kodi kubwa wakat mawaziri hawakatwi kodi pamoja na kulipwa mamilion ya pesa.
Inasikitisha kumgandamiza mfanyabiashara mdogo kwa kumtoza kodi kubwa wakat makampuni mbalimbali yanasamehewa kodi.
Inasikitisha kuona raslimali znaibiwa na hawa tunaowaita viongoz wetu wakat mtanzania anaishi maisha ya chini na kimaskini.
Huu ni wakat wa kuisaka haki kwa kuingia msituni, tutakuwa waoga mpaka lini?
Hebu tuige wenzetu kama V.I Lenini na Joseph Stallin waliyoyafanya huko Urusi woga wetu ndio umaskin wetu, tutakuwa watu wenye kulia miaka yote lakin hakuna atakaye tukomboa tusipotoa jasho na damu.