Hivi wanawake mna matatizo gani.?Tizama maajabu ya Zamaradi

We Unajua Ruge kazalisha wanawake wangap mpaka Sasa na hajawa hata mmoja?? Kama aliamua kumuoa Kwanini wasingefunga ndoa ya boman? Na Kama wazaz walimkataza kweli asibadilishe dini Kwanini wamruhusu aishi NAYE bila ndoa .??
Ruge might be right. Wakati mwingine kuoa ni kujitia kitanzi maana wanawake wenyewe hawaaminiki. Hawana upendo wa kweli na opportunist.
 
Mwanaume kakubali kukuoa ila familia imekataa usibadilishe dini, Mwanaume akasema basi muendelee kuishi pamoja bila Harusi, unamuacha unatafuta mtu yeyote tu hata kama hana sifa ili tu uonekane umefunga harusi...(pathetic)

Kamuacha Ruge tena aliyezaa nae watoto wawili..

1a2b6f4cc8ce4b7fa1a30d8612db00d6.jpg

Kaenda kuolewa na huyu dogo ,yaani sababu kubwa afunge harusi..

f2334de5887916b0b25553260f257fe3.jpg

85085197ffc6c822cb65350435524c81.jpg

Kweli wanawake mna fantasy za ajabu ndio maana ni viumbe vya ajabu..

Sometimes penis size matters, Wanawake wana siri nyingi labda muuza chips ana Dushe la ukweli
 
Mwanaume kakubali kukuoa ila familia imekataa usibadilishe dini, Mwanaume akasema basi muendelee kuishi pamoja bila Harusi, unamuacha unatafuta mtu yeyote tu hata kama hana sifa ili tu uonekane umefunga harusi...(pathetic)

Kamuacha Ruge tena aliyezaa nae watoto wawili..

1a2b6f4cc8ce4b7fa1a30d8612db00d6.jpg

Kaenda kuolewa na huyu dogo ,yaani sababu kubwa afunge harusi..

f2334de5887916b0b25553260f257fe3.jpg

85085197ffc6c822cb65350435524c81.jpg

Kweli wanawake mna fantasy za ajabu ndio maana ni viumbe vya ajabu..
Acheni majungu ushamba.mwanake anaejielewa lazima aolewe. Sasa nyinyi mnataka Mali.
 
Usiingilie mapenzi ya watu.
Mtu chake apendapo hakina ila machoni.
Ukiganda hicho hicho hata mumfanyie nini.
Pili pili wala wao nyie yawashia nini?
 
Mkuu kumbe hata wewe unaona wivu, i thought it was too feminine
 
Mwanaume kakubali kukuoa ila familia imekataa usibadilishe dini, Mwanaume akasema basi muendelee kuishi pamoja bila Harusi, unamuacha unatafuta mtu yeyote tu hata kama hana sifa ili tu uonekane umefunga harusi...(pathetic)

Kamuacha Ruge tena aliyezaa nae watoto wawili..

1a2b6f4cc8ce4b7fa1a30d8612db00d6.jpg

Kaenda kuolewa na huyu dogo ,yaani sababu kubwa afunge harusi..

f2334de5887916b0b25553260f257fe3.jpg

85085197ffc6c822cb65350435524c81.jpg

Kweli wanawake mna fantasy za ajabu ndio maana ni viumbe vya ajabu..
 
Jamani maamuzi ya mtu yaheshimiwe,inakuaje unaongea wewe mtu wa nje ambae hujui A wala Be ya kinachojiri ndani ya nyumba zao ? Pambaneni na hali zenu acha kufatilia ya wenzenu
 
We Unajua Ruge kazalisha wanawake wangap mpaka Sasa na hajawa hata mmoja?? Kama aliamua kumuoa Kwanini wasingefunga ndoa ya boman? Na Kama wazaz walimkataza kweli asibadilishe dini Kwanini wamruhusu aishi NAYE bila ndoa .??
Kwani zama wakay anaenda kwa ruge alikuwa hajui kama jamaa kazalisha sn?
 
Mwanaume kakubali kukuoa ila familia imekataa usibadilishe dini, Mwanaume akasema basi muendelee kuishi pamoja bila Harusi, unamuacha unatafuta mtu yeyote tu hata kama hana sifa ili tu uonekane umefunga harusi...(pathetic)

Kamuacha Ruge tena aliyezaa nae watoto wawili..

1a2b6f4cc8ce4b7fa1a30d8612db00d6.jpg

Kaenda kuolewa na huyu dogo ,yaani sababu kubwa afunge harusi..

f2334de5887916b0b25553260f257fe3.jpg

85085197ffc6c822cb65350435524c81.jpg

Kweli wanawake mna fantasy za ajabu ndio maana ni viumbe vya ajabu..
Kipendacho roho hula nyama mbichi..!!
Na huwezi jua kwa ruge alikimbia nini
 
Back
Top Bottom