Hivi wanaume wa Dar wakoje?

Tena huyu wa dar kinondoni huyu,
 
Huwa nahisi kuna kitu hakiko sawa kwenye akili zao, wengine wanasema aina ya malezi pia huchangia na wengine wanadai 'homoni ' .Lakini bado sioni kama hizi ni sababu tosha kumfanya mtu awe hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…