Hivi wanaume mnajua hili?

Ukiona mke wako au mchumba wako anapenda mambo ya kujipost post saana kwenye mitandao ya kijamii tambua hapo hakuna mwanamke.
πŸ’― πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Social media maniac
 
Ukimwambia utasikia "we mwanaume una gubu" what's ***? Stupid indeed!
 
Binafsi nikishaona mwanamke Yuko obsessed na kuzungusha kichwa uku anajirekodi Kama anatafuta network namshusha thamani apoapo
Na wale wa kubinua tako, wale wanaokata mauno, kutoa kiulimi nje

Siku hizi mabinti na wanawake wanatumia mitandao kudanga

Aina za pozi, picha na video anazopost mwanamke utajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…