DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,658 Dec 30, 2025 #2 The guy is very smart and goals oriented Heko to him .
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,389 Reaction score 130,973 Dec 30, 2025 #3 Wanawaona mataco
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,389 Reaction score 130,973 Dec 30, 2025 #4 HAYA LAND HOV said: The guy is very smart and goals oriented Heko to him . Click to expand... Unaaibisha wa haya shemeji zangu KIAZI wewe
HAYA LAND HOV said: The guy is very smart and goals oriented Heko to him . Click to expand... Unaaibisha wa haya shemeji zangu KIAZI wewe
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,334 Reaction score 6,629 Dec 30, 2025 #5 Kafanya kazi kubwa sana, nenda jimboni kwake utajionea
Huruma siyo malezi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 2,032 Reaction score 4,394 Dec 30, 2025 #6 Nchi imepakatwa ikapakatika
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Dec 30, 2025 #7 Fbn said: View attachment 3522772 Click to expand... Ameshinda kwa kunyoa nywele na kuacha u-Afghanistan?Tukizubaa tu,wataanzisha ushindani wa chupi za wake zao.Stupids hadi keshokutwa asubuhi.
Fbn said: View attachment 3522772 Click to expand... Ameshinda kwa kunyoa nywele na kuacha u-Afghanistan?Tukizubaa tu,wataanzisha ushindani wa chupi za wake zao.Stupids hadi keshokutwa asubuhi.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 14,136 Reaction score 33,542 Dec 30, 2025 Thread starter #8 Alvajumaa said: Kafanya kazi kubwa sana, nenda jimboni kwake utajionea Click to expand... Kubaka uchaguzi
Alvajumaa said: Kafanya kazi kubwa sana, nenda jimboni kwake utajionea Click to expand... Kubaka uchaguzi
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,658 Dec 30, 2025 #9 min -me said: Unaaibisha wa haya shemeji zangu KIAZI wewe Click to expand... MTU akifanya Kazi kubwa lazima apewe tuzo mambo ya kawaida hayo mkuu.
min -me said: Unaaibisha wa haya shemeji zangu KIAZI wewe Click to expand... MTU akifanya Kazi kubwa lazima apewe tuzo mambo ya kawaida hayo mkuu.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Dec 30, 2025 #10 Alvajumaa said: Kafanya kazi kubwa sana, nenda jimboni kwake utajionea Click to expand... Kwamba kafanya nini?Tuwekee tuone halafu tutaenda kuona.
Alvajumaa said: Kafanya kazi kubwa sana, nenda jimboni kwake utajionea Click to expand... Kwamba kafanya nini?Tuwekee tuone halafu tutaenda kuona.
S Street Hawker JF-Expert Member Joined May 17, 2020 Posts 391 Reaction score 685 Dec 30, 2025 #11 Wanafanya makusudi kwasababu wapo kwa ajili ya kuwaumiza roho wananchi
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,138 Dec 30, 2025 #12 Harmonize katoa nyimbo na mbosso... Ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Dec 30, 2025 #13 Poor Brain said: Harmonize katoa nyimbo na mbosso... Ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 Click to expand... Anasemaje?Ametuita wasenge baada ya kutuita makenge?
Poor Brain said: Harmonize katoa nyimbo na mbosso... Ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 Click to expand... Anasemaje?Ametuita wasenge baada ya kutuita makenge?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,389 Reaction score 130,973 Dec 30, 2025 #14 HAYA LAND HOV said: MTU akifanya Kazi kubwa lazima apewe tuzo mambo ya kawaida hayo mkuu. Click to expand... Wewe ujitadhimini sana mwanzoni ulionekana mtu wa maana sana Ila now wewe ni KIAZI wa mwisho Angalia wapi umekosea bado una nafasi ya kujirekebisha , kama ni njaa ya pesa najitokea kukuchangia uachane na huo ungese
HAYA LAND HOV said: MTU akifanya Kazi kubwa lazima apewe tuzo mambo ya kawaida hayo mkuu. Click to expand... Wewe ujitadhimini sana mwanzoni ulionekana mtu wa maana sana Ila now wewe ni KIAZI wa mwisho Angalia wapi umekosea bado una nafasi ya kujirekebisha , kama ni njaa ya pesa najitokea kukuchangia uachane na huo ungese
Remark JF-Expert Member Joined Aug 15, 2015 Posts 545 Reaction score 1,088 Dec 30, 2025 #15 HAYA LAND HOV said: The guy is very smart and goals oriented Heko to him . Click to expand... Mamamaeeee….! Walamba vinyeo na nnya sababu ya vichenchi vidogo. Haya tuambie huo u smart upo kwenye kipi hasa na goals gani alizo achieve mpaka sasa.
HAYA LAND HOV said: The guy is very smart and goals oriented Heko to him . Click to expand... Mamamaeeee….! Walamba vinyeo na nnya sababu ya vichenchi vidogo. Haya tuambie huo u smart upo kwenye kipi hasa na goals gani alizo achieve mpaka sasa.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,658 Dec 30, 2025 #16 min -me said: Wewe ujitadhimini sana mwanzoni ulionekana mtu wa maana sana Ila now wewe ni KIAZI wa mwisho Angalia wapi umekosea bado una nafasi ya kujirekebisha , kama ni njaa ya pesa najitokea kukuchangia uachane na huo ungese Click to expand... SAWA MKUU
min -me said: Wewe ujitadhimini sana mwanzoni ulionekana mtu wa maana sana Ila now wewe ni KIAZI wa mwisho Angalia wapi umekosea bado una nafasi ya kujirekebisha , kama ni njaa ya pesa najitokea kukuchangia uachane na huo ungese Click to expand... SAWA MKUU
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,658 Dec 30, 2025 #17 Remark said: Mamamaeeee….! Walamba vinyeo na nnya sababu ya vichenchi vidogo. Haya tuambie huo u smart upo kwenye kipi hasa na goals gani alizo achieve mpaka sasa. Click to expand... Utatuaje ikiwa haufatalii mambo sisi wakazi wa Jimbo lake tunaelewa Kazi ya kozalendo na kujitoa kwa wananchi Mchengera ni moja ya viongozi wanaofikika kwa urahisi The guy is not there by chance , Ila yupo competent katika Kazi . Msikae mtandaoni mnatukana watu nendeni Field pia.
Remark said: Mamamaeeee….! Walamba vinyeo na nnya sababu ya vichenchi vidogo. Haya tuambie huo u smart upo kwenye kipi hasa na goals gani alizo achieve mpaka sasa. Click to expand... Utatuaje ikiwa haufatalii mambo sisi wakazi wa Jimbo lake tunaelewa Kazi ya kozalendo na kujitoa kwa wananchi Mchengera ni moja ya viongozi wanaofikika kwa urahisi The guy is not there by chance , Ila yupo competent katika Kazi . Msikae mtandaoni mnatukana watu nendeni Field pia.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,389 Reaction score 130,973 Dec 30, 2025 #18 HAYA LAND HOV said: SAWA MKUU Click to expand... Tena Bora ujibu kwa adabu , Mimi na Hannah tunaweza kuvungia tu kiroho safi.
HAYA LAND HOV said: SAWA MKUU Click to expand... Tena Bora ujibu kwa adabu , Mimi na Hannah tunaweza kuvungia tu kiroho safi.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,658 Dec 30, 2025 #19 min -me said: Tena Bora ujibu kwa adabu , Mimi na Hannah tunaweza kuvungia tu kiroho safi. Click to expand... Okay ni sahihi mkuu
min -me said: Tena Bora ujibu kwa adabu , Mimi na Hannah tunaweza kuvungia tu kiroho safi. Click to expand... Okay ni sahihi mkuu
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Dec 30, 2025 #20 min -me said: Tena Bora ujibu kwa adabu , Mimi na Hannah tunaweza kuvungia tu kiroho safi. Click to expand... Mwambie afanye hivo kwenye ID zote. Sio atu backstab kwenye zile nyingine 43🤣
min -me said: Tena Bora ujibu kwa adabu , Mimi na Hannah tunaweza kuvungia tu kiroho safi. Click to expand... Mwambie afanye hivo kwenye ID zote. Sio atu backstab kwenye zile nyingine 43🤣