Kumekuwepo na fununu zilizo na ukweli watu wengi wa usalama wa taifa wanakuwa wanachama watiifu wa chama cha mapinduzi na wengi wao wakiwa ni watoto wa vigogo au marafiki wa vigogo ambao wote wanatokana na ccm, je ili kuwa mtu wa usalama wa taifa ni lazima utoke ccm???
Wananchi wa vyama vingne hawana haki ya kupata fursa ya kuajiriwa tiss?? Nnasema hivi kwa uchunguzi nilioufanya kwa miaka minne mfufululizo ambapo watu niliowagundua kama ni usalama wote walikuwa ni makada wa ccm, tiss wapo BOT, jeshini, polisi, uhamiaji, vyuo vikuu na secta nyingi nyeti ambao ukiwachunguza sana utakuja kugundua ni makada wa ccm pia, je ccm ina hati miliki ya tiss??? Ukiwa ccm we ndo mzalendo wa kweli??? Kwa nini kusiwe na njia ambazo zipo wazi labda ufaulu au fani ndo iwe kigezo cha kuajiriwa tiss?? Je ccm ndo wanastahili kula neema ya nchi nasema hivi kwa sababu ukiwa tiss na ukawa na elimu kubwa rahisi kuteuliwa kuwa balozi wa nchi fulani, mkurugenzi wa taasisi nyeti, mkuu wa mkoa wilaya , wakuu wa majeshi , polisi na taasisi nyingne nyingi ambazo zinafanana na hizo. Naomba tujadili suala hili na kupata uzoefu wa suala hili kuhusu hati miliki ya tiss.
Note: tiss wapo upinzani ila wengi hawajaanzia upinzani ila wametumwa kwa kazi maalumu ya kichama ( ccm) na serikali.