MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kumekua ma threads nyingi humu zote kutoka CCM za kinafki eti wanakionea huruma Chadema! Mara ooh Mbowe anaua chama,sijui Lowassa kakinunua Chadema, mara ooh katibu mkuu mpya hafai,sijui hatumtaki Mbowe, sijui Come back Dr Slaa!
Khaa! tangu lini ccm unafurahia uwepo wa Chadema? Hivi mna akili sawa sawa? Pilipili msiyoila inakuwashieni nini?Unafki mtupu ndio maana hamuendelei kila siku majungu tu mtandsoni.
Ya Chadema Waacheni wenyewe hangaikeni na lichama lenu la magamba.Chama kinachotembelea jina la mtu moja tu kwa sasa, sijui akiondoka mtasema nini.