mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,150
Nimekuwa najiuliza sana hili swali. Baada ya kutaka kulazimisha Membe awe mgombea wa ccm hadi pale wajumbe wa Nec wakamdindia na bahati ikamwangukia Magu. Ikumbukwe si Membe wala Magu aliyekuwa chaguo la wanaccm wengi.
Pili hii la Rais JPM kuonesha udhaifu mkubwa na madudu ya kutisha yaliyokuwa yakifumbiwa macho na Kikwete.
Ndipo sasa najiuliza: hivi wanaccm kwa sasa wanamstahi tu huyu mtu na kuna siku watamchenjia km asipojiweka kando mapema?