white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
Lugha sio quality. Ina maana wapasha habari wa russia ni wabaya wanapolinganishwa na US? unaweza kufanya kazi ya quality nzuri kwa lugha yoyote. Tatizo itakua kwenye professionalis. Watanzania wanaspecialize katika udaku. Hawatoi source, wanaongelea hisia zao hawafati facts etc. Lakini kuna wale wazuri pia na kama gazeti na vyombo vingine vya habari vitawapa nafasi kama wanavopewa wapasha habari wa kikenya basi watatoboa pia.tatizo ni lugha...
tatizo ni lugha...
Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia haya mashindano yanayoandaliwa na kituo cha television cha CNN.kwa waandishi wa habari na watangazaji,kila mwaka.mbona watanzania cwaoni wakiibuka washindi! Kila mwaka wakenya ndio wanaochukua tuzo hizo kwa wingi!tatizo lipo wapi jamani?au ndio mambo yetu yale yale..,
Wakenya wanatuzidi kwa lugha na sisi tunawazidi kwa madini. tanzania tajiri kweli, ila viongozi wetu hawa ubongo kabisa, kama zipo basi iq zao zipo below zero.
ShrewednessNi muda mrefu nimekuwa nikifuatilia haya mashindano yanayoandaliwa na kituo cha television cha CNN.kwa waandishi wa habari na watangazaji,kila mwaka.mbona watanzania cwaoni wakiibuka washindi! Kila mwaka wakenya ndio wanaochukua tuzo hizo kwa wingi!tatizo lipo wapi jamani?au ndio mambo yetu yale yale..,
hili suala la lugha sikubaliani nalo moja kwa moja, kuna mwandishi wa Angola alipata tuzo na makala yake ilikuwa kwa lugha ya Kireno.
Tatizo letu kutafuta tuvisingizio tu tudogodogo badala ya kuangalia wapi hasa tulipoangukia.
sasa hapa suala zima la kutopata tuzo kisingizio kimekuwa lugha tu....hatuangalii hata vigezo vingine (sidhani CNN wali specify lugha za kutumika). Waandishi wetu wajitahidi kufanya kazi kitaaluma zaidi na nina imani kazi zao zitatambulika. Jiwe unalokwaa litumie kama stepping stone kuendelea mbele si kuanza kutafuta visingizio.Kwenye lile jopo la majaji kulikuwa na wakalimani wa lugha mbali mbali kwa hiyo hata kazi za kiswahili zingeingia na kutafsiriwa tu.Kama rais anasema msongamano uliokithiri wa magari ni mafanikio ndani ya nchi basi jua bongo ya anaowaongoza haitofautiani na yake. Sasa hivi tunasingizia kutokuwepo mvua kama sababu ya mgawo wa umeme wakati kumekuwa na matatizo ya uhaba wa mvua kwa zaidi ya miaka ishirini na wote tunajua.