Hivi wadada wakristo mna matatizo yapi?

Vipi lkn wanapendeza au hawapendezi?
 
Hata ndoa za mashoga pia sio issue kuwafungisha ndoa kwenye nyumba za ibada za wagalatia,hata kwenda hija Vatican na mashoga sio issue walisha ruhusiwa,hata kuwabariki mashoga pia sio issue coz Papa alisha ruhusu.
Jikite kwenye mavazi, acha kuibua mjadala wa ushoga, kwenye Uislamu wa Ushia wanawake wanaruhusiwa mapenzi ya njia zote.
 
Kuvaa khanga au vitenge msibani ni Islamic/swahili influence katika jamii ya Kitanzania bara. Hakuna tatizo kwa wanawake kuvaa sketi, gauni au suti msibani.
 
Wavae kimsiba 24/7 just in case sio.
 
cha ajabu anayelalamika na kulia lia kila siku post after post hapa jf khs wanawake ''kukosa mume" ni wanaume badala ya wanawake wenyewe, hili jambo sijawahi kulielewa nchini tanzagiza, si ilipaswa iwe kinyume chake, au? ...
 
Maajabu hayatokaa yaishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…