Hivi wachawi hawawezi kuiroga Serikali?

Hivi wachawi hawawezi kuiroga Serikali?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,971
Juzi kuna uzi humu kuhusu jamaa ambaye magari yake yakikamatwa huyo trafiki lazima yamkute.

Sasa ya nini kuwa na viongozi mizigo na kikwazo cha maendeleo wakati kuna njia ya mkato ya kuwaondoa kwenye system tunaishia kulalamika!
 
juzi kuna uzi humu kuhusu jamaa ambaye magari yake yakikamatwa huyo trafiki lazima yamkute,sasa ya nini kuwa na viongozi mizigo na kikwazo cha maendeleo wakati kuna njia ya mkato ya kuwaondoa kwenye system tunaishia kulalamika!

serikali nayo unajua inakaa hivihivi bila uchawi??

Mauaji yote yenye shaka unajua chanzo ninini??
 
Serikali watairoga vipi labda wakiroge chama cha sisi emu
 
Uchawi una limitations zake, kwa mfano huwezi kumroga binadamu mwenzako bila sababu ya msingi, likewise huwezi kutumia uchawi kuiba ngombe, mbuzi kwa jirani yako, kuingia dukani kuiba vitu ama kuingia Benki na kuiba pesa.

Kwa mantiki hiyo hiyo, Uchawi hauwezi vilevile kumdhuru mtu aliyekupora ushindi kwenye uchaguzi ili wakati anaapishwa gharika ya moto ama radi vitokee hapo hapo. Uchawi una masharti yake.
 
wachawi wangetakiwa wawapige vibao viongozi pale wanapokosea hasa bungeni kule
 
Uchawi ni imani yako!
Wachawi ni traditional sociologists na psychologists walio kazini na wanaocheza tu na akili za watu wenye akili fupi na uelewa mdogo wa mambo ili kupata pesa ya kulisha familia zao. Kikubwa anachotegemea mchawi ni kucheza na paychology ya mtu!
Hivyo unaweza peleka mzigo kwa hao wachawi wakufanyie kazi ya kuiroga serikali, kama serikalini hawana imani na uchawi utakuwa unatwanga maji ktk kinu! Ili uchawi ufanye kazi lazima pande zote ziwe na imani kuhusu uchawi.
Binafsi SIAMINI uchawi, sababu sijawahi kuuona na hamna mtu ambaye amewahi kuniambia ameshuhudia zaidi ya kuniambia kuwa nae kasikia tu!
 
Na kweli mpaka siku urogwe ndo utaujua! Vipo vingi tu havionekani lkn tunaviamini. Uchawi upo hata vitabu vitukufu vinasema. Endelea kutafiti utajua haya nisemayo.
 
Juzi kuna uzi humu kuhusu jamaa ambaye magari yake yakikamatwa huyo trafiki lazima yamkute.

Sasa ya nini kuwa na viongozi mizigo na kikwazo cha maendeleo wakati kuna njia ya mkato ya kuwaondoa kwenye system tunaishia kulalamika!

Kwan inavosemekana albino wanatafutwa na kina nan?
 
Na kweli mpaka siku urogwe ndo utaujua! Vipo vingi tu havionekani lkn tunaviamini. Uchawi upo hata vitabu vitukufu vinasema. Endelea kutafiti utajua haya nisemayo.
Sasa kurogwa si mpaka niwe na imani ndo nitaathirika na kurogwa? Naijengaje hiyo imani ili niwe subject ya kurogwa?
 
IILOGWE MARA MBILI?SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI ILISHALOGWAGA SIKU NYINGI KISHA IKAJILOGA YENYEWE...HIVYO MISINGI YAO YOTE NA ITIKADI NI ZA KUZIMU...Huwezi nunua magari mia saba na magari yakuwasha bila sababu za msingi ili hali wanafunzi hawana mikopo ....si nikulogwa huko?
 
Uchawi ni imani yako!
Wachawi ni traditional sociologists na psychologists walio kazini na wanaocheza tu na akili za watu wenye akili fupi na uelewa mdogo wa mambo ili kupata pesa ya kulisha familia zao. Kikubwa anachotegemea mchawi ni kucheza na paychology ya mtu!
Hivyo unaweza peleka mzigo kwa hao wachawi wakufanyie kazi ya kuiroga serikali, kama serikalini hawana imani na uchawi utakuwa unatwanga maji ktk kinu! Ili uchawi ufanye kazi lazima pande zote ziwe na imani kuhusu uchawi.
Binafsi SIAMINI uchawi, sababu sijawahi kuuona na hamna mtu ambaye amewahi kuniambia ameshuhudia zaidi ya kuniambia kuwa nae kasikia tu!

Kwamba wewe huamini uwepo wa uchawi haiondoi ukweli kwamba uchawi upo. Imani haiondoi uhalisia wa jambo. Pale UDSM nimewahi kukutana na Dr mmoja kama sikosei anaitwa Meshack, amefanya tafiti nyingi sana za haya mambo ya uchawi.
 
IILOGWE MARA MBILI?SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI ILISHALOGWAGA SIKU NYINGI KISHA IKAJILOGA YENYEWE...HIVYO MISINGI YAO YOTE NA ITIKADI NI ZA KUZIMU...Huwezi nunua magari mia saba na magari yakuwasha bila sababu za msingi ili hali wanafunzi hawana mikopo ....si nikulogwa huko?

Ulienda kumuuliza Jk magari aliyonunua hayana msingi? mmesahau eheeee,
 
Back
Top Bottom