nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
- Thread starter
- #21
airtel wajitanue tu sasa niko huku kanda ya ziwa bush nikalazimika kuazima line ya simu ya hawa wezi vodacom,nimeshuhudia maajabu leo,kweli serikali haikukosea hawa jamaa ni wataalamu wa money launderingMie nilipewa ofisini 15GB, zikaisha wiki. Bembeleza sana Muhasibu, nikapewa 10 GB. Nikawa natumia kwa hofu kweli. Haikufika wiki, kalass !
Nikajipinda, nikajaza kwenye simu yangu Airtel. Mpaka leo napewa cash ofisini nanunua bundle la Airtel 15GB mwezi mzima