technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,632
- 51,820
Nimekuwa nikisikia watu wakisema tuna kiongozi imara Mimi nimekaa na kujiuliza hivi kiongozi imara anakuwa na sifa zipi ?
Kushindwa kuwashugulikia mafisadi ndio kuwa imara?
Hivi rais imara anaweza kukubari kuwalipa matapeli ya IPTL Milioni 4 kila siku ?
Kuwakejeri na kuwashambulia wapinzani wake ndio kuwa imara?
Dr Slaa alikuwa mbunge toka mwaka 1995 mpaka 2010
Lakini pamoja na kutoa siri nyingi za Serikali sijawai kusikia Mkapa au kikwete wakimshambulia.
Tundu Lissu amekuwa mbunge toka mwaka 2010 lakini kuna kipindi Rais kikwete alikiri kabisa kuwa tundu Lissu ni mbunge imara.
Wabunge wa ccm hivyo hivyo wamekuwa wakikiri wakitamani hata watoto wao watakao wazaa wawe na akili kama za Tundu Lissu.
Hivi Rais imara ni kuogopa vyombo vya habari?
Rais imara ni kuzuia siasa?
Rais imara ni kuwanyima vijana mikopo ili wasome?
Rais imara ni kubadirisha matumizi ya Rambi Rambi?
Rais ambaye sio mvumilivu ni muoga wa kupokea hata ushauri kila kitu kinamuumiza na anatamani kukifanyia maamuzi.
Eti ningewapoteza hivi kuwapoteza ndio kuwa imara?
Kwangu Mimi Huyu ndiye Rais dhaifu kabisa who ever seen in my political career.
He deserve to be a weak President in our history.