Hivi utakuwa na team ngapi?

Lady niece

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
953
Reaction score
414
Mwadilla

Inanishangaza sana sielew kwanini watu wanajichanganya sana
yaaini mtu huyo huyo anagombewa na watu double double
halafu huyo huyo naye anajichanganya kwa lugha laini kwa
wote bila ya wao kujijijua halafu anasema amewin kumbe
hajawini chochote ndo kwanza anajipalia mkaa kwenye mkoka

Wewe kwanini unakluwa TEAM mbili kwanini usichague mmojawapo
MM ni BALOZI WA TEAMRafiki inanishangaza kuona watu
wanataka kadi kwetu wakati wao wako Team hiyo ya Bazazi
sijui kwanini labda niwaite viongozi wangu Mndengereko
na Tized wanisaidie kwanini mtu anajichanganya na kutaka
kuwa team zote na tena awe member wa kudumu si anaweza
leta vitabia vyake vya kule alikotoka na kuzamisha team yetu
huku Je ni busara kuwachukua hao? pls nisaidieni na mnijibu hapa
kwani nashangaa sana kuona mamluki wa kijani wamejazana hapa

Nawakilisha hoja

cc: PLS HAKUNA MWONGOZO
 
Last edited by a moderator:
Pamoja nakwamba mimi nimeomba kujiunga na majibu sijapata but mimi naona sisawa kua na timu 2.
 
Nakuunga mkono Lady niece,,hii haiwezi kukubalika.Yeyote atakayebainika yuko #TeamBazazi usajili wake #Teamrafiki ufutwe mara moja!

Wito wangu kwa wana JF wote,sio lazima kujiunga na #Teamrafiki na wala hatugawi posho,kama wewe unajijua kabisa huwezi kuwa rafiki mwema,muadilifu,hasiyechepuka,basi kaa huko huko #TeamBazazi !
 
Last edited by a moderator:
wewe unaruhusiwa kuingia teamrafiki kwani mm ni baloziwa teamrafiki
sasa hao wanajifanya kuwa pande 2 ninawashangaa sana si bora wakae
huko waliko

Pamoja nakwamba mimi nimeomba kujiunga na majibu sijapata but mimi naona sisawa kua na timu 2.
 
bora umeliona hilo mm nawashangaa sana
wanataka kuharibu teamrafiki yetu
hawajui ni jinsi gani tulivyoangaika
mpaka ikawepo, na mbinu gani tulifanya
mpaka ikawa kuubwa kiasi hichi
WATUPISHE SISI NI WATU WA UPENDO,
WENYE UKARIMU NA WENYE KUJITOA


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…