Hivi ushawahi kufikiria hiki kitu?

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
394
713
Embu fikiria kama viungo vyetu mwilini vingekuwa vinafungwa kwa nati au screw

Sasa siku moja ukaenda kuoga tena ukafungua na machine(kirungu) ili uisafishe vizuri afu mara paah nati inakuponyoka inaingia kwenye sink nakupotelea huko jumla afu uambiwe kuwa nati hazina spare dah hivi utafanyaje
 
Nyuzi za JF kuanzia saa sita usiku huwa ni tabu tupu😂😂😂. kuna watu huwa mna type mkiwa ndotoni, wengine wanashtuka kutoka usingizini wanamuwaza CAG wanakuja kutema nyongo humu
 
Embu fikiria kama viungo vyetu mwilini vingekuwa vinafungwa kwa nati au screw

Sasa siku moja ukaenda kuoga tena ukafungua na machine(kirungu) ili uisafishe vizuri afu mara paah nati inakuponyoka inaingia kwenye sink nakupotelea huko jumla afu uambiwe kuwa nati hazina spare dah hivi utafanyaje
Meno ya Siafu tu akikuvamia tu huko kwenye kikojoleo balaa lake ni HD

sasa hiyo nati itaingia wapi..achen nati iitwe nati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom