Hivi upinzani wa bongo naona unarudisha Maendeleo

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Mimi kama kijana ninaye waza nje ya box siwezi chagua upinzani maana naona wanarudisha nyuma Maendeleo na kupigania masilahi hao binafsi
Nakupa mifano hai ili uone kuwa upinzani wa bongo bado sana
1:Serikali ya J Pm imenunua ndege aina ya Bombardier
Wapinzani- wakasema used,mapamga boi leo wanazipanda
2:Tatizo LA ajira,masilahi ya watumishi wa umma
Wapinzani wapo kimya katika hoja hiyo sababu haiwagusi
3:Serikali unafanya uhakiki wa watumishi hewa na vyeti fake
Wapinzani
Kimya wanang'ang'ania vyeti vya RC tu peke yake
Kusema ukweli upinzani wa Bongo ni majanga
Wanashindwa kufanya mambo ya kimaendeleo wanapiga kelele tu
 
MNARA WA BABELI

Walipoomba mbao, Wao walileta mchanga

Walipohitaji udongo, Wao walileta majani

Hata nyumbani pia, Mke na mume hawakuelewana mahitaji

Popote walipokuwepo Binadamu, Usemi ulibadilishwa ghafla

MNARA ULIBAKI HISTORIA


Japo nia walikuwa nayo!
 
Hawa watu kazi yao kulea matumbo wee ona hata vyama vyao vinavyoongozwa haviakisi yale wanenayo majukwaani, Lissu anamtukana Rais dictator lkn kashindwa kumkemea Mbowe ambaye kajifanya M.kiti wa maisha pale Sakosini mwao
 
Huo ndo mwisho wa upeo wako. You have reached your thinking limit. let others think and rescue the situation.
 
Jamani tuwe wakweli, hakuna maendeleo yoyote yanafanywa zaidi watu kutafuta kick. Hatuoni strategy za kufikia uchumi wa viwanda. Sana sana kila siku ni kusikia watu wamefunga mabiashara na makampuni kupunguza wafanyakazi. mfuko wa bei n.k. tusisingizie vitu ambavyo havipo.
 
Siasa ni mambo ya ajabu sana.Mtu unakaa unashabikia mtu ambaye analipwa wakati wewe unakufa njaa alafu unasema anapigania haki yako.
 
Tanzania hatuna siasa zilizokomaa bado wote Tuko shule ktk siasa bado hatujaiva kisiasa kama Taifa.

Siasa za Tanzania ukizitama kiundani sana una kama ni uhanaharakati tu na si ile hasa siasa.

Kuna miaka inakuja mbele may be ndiyo kutakuwa na siasa za kweli kama sisi tutaweka misingi mizuri kwa ajili ya vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom