Hivi unakumbuka katuni za Chakubanga?

Hivi unakumbuka katuni za Chakubanga?

shalua mpanda

Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Kama kumbukumbu zangu zitakuwa nzuri ilikuwa miaka ya 80 hivi kulikuwa na katuni kwenye magazeti ya mzalendo na uhuru ilikuwa inaitwa Chakubanga,leo nimeikumbuka sana hii kitu!
 
Umenikumbusha CHUPAKI
 

Attachments

  • 1398520016230.jpg
    1398520016230.jpg
    43.6 KB · Views: 568
Hakika hajawahi kutokea msanii kama Chakubanga alijua kila mambo ya mjini maisha halisi ya mtanzania
 
Hahaaa walianza siku nyingi nadhani miaka ya 70. Chupaki sio mtoto? Kulikuwa na mmoja mkulima, Chakubanga mfanyakazi, mama Chupaki. Kulikuwa na katoto ka Chakubanga pia. Enzi za kuhamishiwa vijiji vya ujamaa, mkulima akapanda mbegu zimebanana, anaulizwa akajibu kama serikali ilivyoamua na yeye aweze kuzihudumia kwa urahisi. Zilikuwa na mafunzo fulani
 
Mm nikiwa mdogo nikifanya koss napigwa kakibao naambiwa "Ondoka hapa sura kama Chakubanga".....

Kumbe ilikuwa ni katuni....
 
Kulikua na chakubanga, polo (mishen town), bushiri (mkulima), chukulubu(mtoto? wa chakubanga).
 
Oh kweli na Polo alikuwa mzururaji flani ivi. Nimekumbuka mbali sana
Kulikua na chakubanga, polo (mishen town), bushiri (mkulima), chukulubu(mtoto? wa chakubanga).
 
Hii inanikumbusha bible school niliosoma back in 70s! Kuna mchungaji alikuwa anafanana sana na Chakubanga!
 
Back
Top Bottom