Hivi unafiki, umbea na kuharibiana ndoa ni hulka ya watu weusi?

Kuharibiana ipo kwa kila mtu sio weusi tu, hata weupe ipo pia
 
Acha umalaya wewe, Yaani ume-date watu wa mataifa yote hayo? Ulipowafuata unadhana hawakuwa na Wapenzi? Wewe Ndio ulikuwa wa kwanza? You are also part of the problem lakini kwa ku-date hao other nationalities ina confirm kuwa hicho unachokizungumzia na kuamini hakipo. Ujue kipo, uwe unatumia akili
 
Unalolisema ni kweli kabisa Mkuu. Kuna watu hawapendi kuona wapenzi wakapendana na kuelewana kupita kiasi. Wataleta umbeya na kupandikiza mbegu za chuki na kusambaza maneno yasiyo na kweli yoyote ile ili kuwagombanisha. Wataacha shughuli zao za maana ili kuwafuatilia wale wapendanao na kutaka kujua kila litokealo ndani ya maisha yao. Ndio maana baadhi ya watu wameweka mipaka ya urafiki na akiona mtu anataka kuivuka hiyo mipaka ya urafiki ili kufuatilia maisha ya mwenzie basi huamua kukata mawasiliano yote na muhusika. Baadhi ya Waafrika ndivyo walivyo.
 

Leo thread za zaman cjui
 
Watu ni wambea mamaeee, umbea hadi kwa watu wasowajua
bora hata wewe unafanyiwa umbea na watu wanaokujua
ukiwa kwenye mapenzi weka earphones vaa miwani ya mbao....
 
Ukitaka jua kuwa mapenzi yenu yako salama ngoja zianze kelele za watu ukiwa wataka oa au uoe afu mtoto asipatikane
Hata kama kelele za chura hazimzuii ngombe kunywa maji siku hiyo ngombe ataogopa hata kwenda mtoni
 
Yaan leo natafuta nyuzi za kunichekesha hata sizionii aaaaaarrggggggjhhh
 
Achievement kubwa ya MuAfrica Mpaka sasa ni kuoa/kuolewa na kuzaa sasa ukiwa umefika kwenye Mikakati hiyo lazima Waungwana wanaokuzunguka waone Bonge ya Deal , Kuharibu na kupaka ----- , MiAfrica Ndivyo Tulivyo !Hata Mwanamke ugundue Ndege kama Hujaolewa hawataona kama umefanya Jambo kubwa hata kidogo ! Utaishia kudharaulika tu
 
Watu ni wambea mamaeee, umbea hadi kwa watu wasowajua
bora hata wewe unafanyiwa umbea na watu wanaokujua
ukiwa kwenye mapenzi weka earphones vaa miwani ya mbao....

Yaan watu waongo piaa mpaka wanaudhii yaan mi nishaamua nikisemwaa ndio navimba kichwaa haswaaa,yaan sisikiliziii wala siambiwiiiiii
 

haswaaaaaaa
 
Hehehe braza mbona hasira!
Yes I was a player tena mbaya, lakini umri na mazingira yalikua yananiruhusu NO REGRETS!!
Hapo kwa red umeniacha sijakuelewa!

By the way haya ma post ya mwaka arobaini na saba imekueje tena?
 
Mkuu hujawauliza wanaokusema to ur chick? Na kama umewauliza wamekuambia sababu ni nini? Jibu kwanza
 
hahahhahaaaa Mpwa wangu nimecheka sana sana kumbe kweli post ya 2010, basi yaishe tuyaache kama yalivyo, have a blessed Monday
Hehehe braza mbona hasira!
Yes I was a player tena mbaya, lakini umri na mazingira yalikua yananiruhusu NO REGRETS!!
Hapo kwa red umeniacha sijakuelewa!

By the way haya ma post ya mwaka arobaini na saba imekueje tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…