Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,312
- 7,881
Watu wamelizwa ila hawajui waanzie wapi kudai mpunga wao! πNani kawashitaki? naona kama unaongea peke ako
... kabisa kabisa, Kishimbe wa Kishimbe ni msukuma! ... shida ni kwamba mimi ni msukuma born town, yaani nimezaliwa mtaa wa Karuta, Mwanza city, Primary school Nyakabungo, Secondari Mwanza seko, High school Tambaza .... !Goodmorning billionaire!
Q net sio matapeli,Hivi unaanzaje kuwashitaki QNET?
Kikwelikweli kabisa QNET ni matapeli wanaotumia 'FEARS' za mtu kupitia njia ngumu ya kuupanda mlima mkali na mrefu kuyafikia mafanikio kwa kumpa 'shortcut' hewa! ... LAKINI, KWELI KABISA, HAWASHITAKIKI!
Wanachofanya QNET ni biashara halali kabisa ya kumuuzia mtu bidhaa, kwa ridhaa yake kabisa, na kisha kumuambia mteja kuwatafutia wateja wengine ili wakupe cha juu! ... na kadri unavyo'WALETA'π wengi zaidi ndo unvyozidi kunufaika! ... yaani nikinunua mali ya shillingi million tano, japo bei halisi ni elfu hamsini, na nikawashawishi wengine kibao, basi naweza kupata hata million mia moja ... na hawakunyimi!
BIDII YAKO TU! π WALETEE!
SASA WADAU HEBU NIAMBIENI, HASA WANASHERIA, TUNAWAFUNGULIA MASHITAKA QNET KWA VIFUNGU GANI VYA SHERIA?
NB: HAWA JAMAA WANA LESENI HALALI YA BIASHARA NA SERIKALI INAWATAMBUA! ... AMMA NIMELISHWA MATANGO-PORI?
WADAU, MJADALA HUO MEZANI HEBU LETENI HOJA TUKAWASEMEE HAWA QNET KWA MAMA!
CHALLENGE: Mkamue Simba maziwa utajirike! πQ net sio matapeli,
Mwanzoni watu walipiga pesa Sana, unajiunga ,unachotakiwa ni kutafuta wateja, ukikosa pesa yako imepotea na ukipata wateja unapata pesa zaidi
Kinachowashinda watu ni namna ya kutafuta hao wateja.
Kwahiyo mm nitapeliwe halafu nimtafute mtu mwingine atapeliwe kwa kigezo cha mm kurudishiwa hela yangu ?[emoji706][emoji706]Q net sio matapeli,
Mwanzoni watu walipiga pesa Sana, unajiunga ,unachotakiwa ni kutafuta wateja, ukikosa pesa yako imepotea na ukipata wateja unapata pesa zaidi
Kinachowashinda watu ni namna ya kutafuta hao wateja.
Kuna wale madogo wa mbezi walikuwa wanahojiwa...mmoja akasema yeye amenunua centa kwa million tano, mi nikajua hiyo centa ni gari...QNET ni mwishoo! π
... yaani unaambiwa kwamba wao hawataki 'middlemen', kwamba bidhaa inatoka kiwandani, inapita kwao tu na, moja kwa moja, inamfikia mteja!
BEI SASAAAA! π±π€‘π π π π π π₯
[emoji3][emoji3][emoji3]Nilimsikia yule dada ni kiazi kweli kweliKuna wale madogo wa mbezi walikuwa wanahojiwa...mmoja akasema yeye amenunua centa kwa million tano, mi nikajua hiyo centa ni gari...
Kumbe chakula!![emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania elimu bure!Kuna wale madogo wa mbezi walikuwa wanahojiwa...mmoja akasema yeye amenunua centa kwa million tano, mi nikajua hiyo centa ni gari...
Kumbe chakula!!πππ
... kama ulikuwapo! π ... lakini hapa nilipo DUKA LANGU lilishauza kwa ka'pyramid' ka wadau kama 20+. ... tafuta wa kuwacheka we mzee mapengo wa kamati ya roho mbaya!Kwahiyo ukanunua saa kwa milioni tano??
Au package ya mahoteli??