Unajua hii ni ya zamani sana enzi za mchonga....siku hizi ni mwendo wa contacts tuu....the rest ni kama kumsukuma bobMfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine.
Swali langu ni kwamba kama amenickia na kunielewa kwa nin asitoe jibu hapo hapo badala ya kusubiri cku nyingine,au kuna mahali huwa wanaenda kuomba ushauri kwanza?
Mbona unatumia desa la zamani kutongoza mkuu. Siku hizi kuna mtu anakaa kusubiria jibu? Ahahahaha
Hawa wengi ni wanachama watiifu wa CHAWAPUTA (Chama cha Wapiga Punyeto Tanzania)!Mimi huwa najiuliza madomo mazege ambao hawana pesa wanatongoza vipi?
Wanasema mwanamke anakuwa ameshafanya maamuzi kama atakuwa na wewe au la katika sekundi saba baada ya mazungumzo.Mfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine.
Swali langu ni kwamba kama amenickia na kunielewa kwa nin asitoe jibu hapo hapo badala ya kusubiri cku nyingine,au kuna mahali huwa wanaenda kuomba ushauri kwanza?
Haahahaaa....Hawa wengi ni wanachama watiifu wa CHAWAPUTA (Chama cha Wapiga Punyeto Tanzania)!