Leo ni takribani siku ya NNE tangu kipyenga cha kampeni kifunguliwe. Mpaka sasa magufuli kazunguka mikoa kadhaa kwa kushirikiana na mgombea mwenza wake. Ukawa bado hawajazindua kampeni na hata huku mikoani bado wako tuli!. Kwa namna hii so mtakuta magufuli kashinda kwani mpaka sasa hana mpinzani huko field?
Ukawa wanafanya maiigizo. Majimbo yako zaidi 260 na mda wa siku 64 ni mdogo.irani ya ukawa ispo eleweka kwa wapiga kura watajilaumu.
si wabunge mpaka madiwani wanategemea lowassa kushinda, sijui itakuwaje
Ukawa wanafanya maiigizo. Majimbo yako zaidi 260 na mda wa siku 64 ni mdogo.irani ya ukawa ispo eleweka kwa wapiga kura watajilaumu.
Usiogope kiongozi, magufuri anakimbia kimbia tu,kuanzia jumamosi hadi mwisho ni mwendo mdundo tu,leo mzee anaongea na vijana wa Dar es salaam na kesho ataongea na Akina mama wa Dar es salaamLeo ni takribani siku ya NNE tangu kipyenga cha kampeni kifunguliwe. Mpaka sasa magufuli kazunguka mikoa kadhaa kwa kushirikiana na mgombea mwenza wake. Ukawa bado hawajazindua kampeni na hata huku mikoani bado wako tuli!. Kwa namna hii so mtakuta magufuli kashinda kwani mpaka sasa hana mpinzani huko field?
Strategy yao sio mbaya DSM kuna population kubwa na wapiga kura wengi lakini ni mahali ambapo kuna muamko na uelewa mkubwa kisiasa. Ni vyema kupiga vizuri eneo hilo na wakawa wanaconcentrate na maeneo mengi kama hayo kuliko kuzunguka tuu mradi ionekane wamezunguka. Hebu tuwape muda hadi huu mwisho wa mwezi tuwaone mwanzo wa mwezi wataamshaje.
Mkuu wewe utakuwa mtoto wa mjini ukifikiri kuwa Tanzania ni DSM
Mmeonywa tayari bado mnabisha. Kama DSM na miji ingekuwa muhimu si ina maana wataongeza viti? Nakwambia kwa kukosa mipango na mikakati na kubaki kujishughulisha na kampeni za Lowassa wataambulia majimbo machache hata mjini. Mark my words!
Dr Slaa alifanya kazi kubwa kujaribu kujenga matawi na mashina lakini yote yako neglected sasa hivi. Huko vijijini hawana mwelekeo viongozi wenu. It's a disaster!