G Garincha Member Joined Nov 21, 2012 Posts 7 Reaction score 1 Nov 23, 2012 #1 Hali ya maisha hapa nchini hubadilika day to day,kiukweli hali ni ngumu.na ukiangalia viongozi we2 wanasema hali ya ugumu wa maisha imepungua kwa kiac kikubwa.so wapi tunaenda?
Hali ya maisha hapa nchini hubadilika day to day,kiukweli hali ni ngumu.na ukiangalia viongozi we2 wanasema hali ya ugumu wa maisha imepungua kwa kiac kikubwa.so wapi tunaenda?
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,498 Reaction score 3,390 Nov 23, 2012 #2 Tutafika lakini tutakuwa tumechoka sana Kamanda wangu Garincha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016