Nilishasema weeeeeee lakini wapi.
Mie naomba waniazime shirika kwa mwaka mmoja on a rental basis waone nitakavyochanganya.
TTCL inahujumiwa...kwenye kila eneo...hata ukiangalia kwenye pricing...wao bado wana gharama za juu...huo hule ushindani!
Mkuu nadhani hii si kweli, nilikuwa bongo sometimes in January, nilitumia TTCL mobile for 2 weeks and was the cheapest and most reliable, lakini sikuwahi kuyiona wala kuisikia hata siku moja kwenye tv and or radio ads.
TTCL inahujumiwa...kwenye kila eneo...hata ukiangalia kwenye pricing...wao bado wana gharama za juu...huo hule ushindani!
Hili Nalo tatizo. labda ndio kuseam hawana cha Kutangaza. Ukisiakia sana sana bado wanajaribu kuprmote mambo ya Voice. Huko wameshapigwa bao.lakini sikuwahi kuyiona wala kuisikia hata siku moja kwenye tv and or radio ads.
Lakini kwa nini TTC wasijaribu kutumia promotion kuwa na flat rate charge kwa mwezi. Wanaweza wakaenga makundi matatu ya wateja.Ni kweli TTCL inahujumiwa, lakini hapo kwenye pricing angalia vizuri mkuu, au angalia bei hizi:Products and Services
Kama unamatumizi madogo ya 2gb/m unauziwa sh15 kwa mb1!! na kama unatumia 200gb/m wanakuuzia sh5/mb!!! (at 8mbps!). Hata kama haununui bando utatozwa 75/mb!
Hiyo ni kwa matumizi ya ofisini, kwa mobile users nadhani ni haki kutafuta otenetivu nyingine labda zantel.
Ni kweli ttcl bado huduma inasumbua wakati mwingine, lakini mostly wanatuunganisha kwa spidi na bei nzuri. (niliwahi kukaa bila mtandao miezi miwili wakati nalipa kila mwezi! nilikasirika nikawatukana sana, lakn waliporekebisha roho ikatulia nikaweka kando modem ya voda)
I think, Kulink mikoa hadi mikoa wanatumia Land satelite......mimi sijui hawa jamaa wananini gharama zao ziko juu sana halafu net yao inakatakata speed sio nzuri kiivyo wanazidiwa na Zantel mbali tu.
Hata mimi siwaelewi kabisa, rates zao haziendani kabisa..nimejaribu kuongea nao customer care siku moja,lakini kama hawaelewi...Zantel wataendelea kupeta