Sema Sasa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 651
- 898
Nimejitahidi kufuatilia siasa za hii nchi naona kabisa mawaziri hawapo au kama wapo hawaeleweki wanafanya nini. Namwona kwa mbali sana Lukuvi na Jenista. Kipindi cha Kikwete Mawaziri na manaibu wao walipamba sana media , wali kuwa hot kweli kweli. Nini kimewapata hawa wa awamu ya tano au hakuna cha kufanya.