jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,643
Kumekua na mwendelezo wa foleni kila kona ya huduma za jamiii benki,huduma za maji,Tanesco na kwengineko !!lakini sitaki kugusia kungine ila hizi sehem mbili Tanesco na Idara ya Maji!! Yaan hawa jamaa wa ajab hadii najiuliza wanashida gani ?
Mbona waafrika tunatia aibu hivi!! Tumesema tunahama kutoka analogue to digitali lakini mbona watumishi wa umma na mifumo yao mbona bado tupo zama za zamani!!
Idara ya maji walitoa utaratibu wa kulipia kwa njia za kisasa sim na kadhalika lakini baada ya siku kadhaa wakarud kulekule kwenye kulipia manually yaan watu wakapange folen!!
Tanesco nao ni hivyo hivo yaani foleni kibao Sijajua tatizo ni nn??
Je, wanafurahia watu wakiahirisha kazi zao na kulundkana kulipa bills??
Hawajazoea kutumia njia za kisasa kama malipo ya mtandao?
Ujue najaribu kuwaza hata sipati jibu?
Ebu tusaidiane labda wapo wanaojua?