Hivi "spirit" ya CHADEMA bado ipo au limebaki jina tu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
93,997
164,252
Nauliza maana naona wale waliokuwa mstari wa mbele kukemea maovu eti leo hii ndio watetezi wakubwa wa "watuhumiwa" wa uovu. Niijuavyo ile CHADEMA iliyoasisiwa mtaa wa majamatini pale Kisutu, leo hii wangekuwa wanawapigania Lijualikali, Lema, Suleiman Methew na hata yule Ben Saanane ambaye hajulikani alipo.

Lakini CHADEMA hii ya Ufipa/Mikocheni ipo busy kumtetea Manji utadhani wao ni tawi la Yanga au CCM Mbagala.

Chondechonde CHADEMA mjitafakari upya mnatuchefua bhana!
Jioni njema.
 
Back
Top Bottom