Hivi software ni kitu gani ?

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Jamani naomba mnisaidie kuondoa huu ushamba.

Huwa Natumia PC Na simu Lakini Nasikia Watu Wengi Wakizungumza Mambo Ya App .Sasa App Ni Nini?
 
JAMANI NAOMBA mnisaidie kuondoa huu ushamba.Huwa Natumia Pc Na simu Lakini Nasikia Watu Wengi Wakizungumza Mambo Ya App .Sasa App Ni Nini

Ni kifupisho cha neno application. ukitaka maelezo zaidi nenda Google.
 
APP= Application's

Je Unamaanisha Ni Setup Au Ni Software Tu Kama Soft Ware Ngingine Kama Ni Setup Au Sofware Kwa Nini Waiite App Je Ina Maana Sofware Zote Kama Opera Mini Google Chrome Mozila Fire Fox Turbo C Ni App
 
JAMANI NAOMBA mnisaidie kuondoa huu ushamba.Huwa Natumia Pc Na simu Lakini Nasikia Watu Wengi Wakizungumza Mambo Ya App .Sasa App Ni Nini
Application software is a program or group of programs designed for end users. These programs are divided into two classes: system software and application software. While system software consists of low-level programs that interact with computers at a basic level, application software resides above system software and includes database programs, word processors, spreadsheets, etc. Application software may be grouped along with system software or published alone.
Application software may simply be referred to as an application.

kwa maelezo zaid click hapa
 

hapo bado hujamsaidia may be ungemuwekea kiswahili.
 
kw hiyo programs zote ni software .....ndiio si zinakua installed .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…