Siku ile aliyo vua bukta na akabaki na chupi tu.
Bosi Azim alikasilika sana.
Na kwasababu Bosi ni Mwislamu safi aliamua kumfukuza moja kwa moja.
Hii ndio sababu ya msingi.
Kumbuka Azim ni baba mdogo wa MO
Morrison Bado anaipenda Simba sana na yuko tayari kurudi Simba hata kwa kucheza bure.
Ili arudi Simba basi walio karibu na Azim wakamwombe radhi sana ili amsamehe.
Na kumwelimisha Morrisson namna ya kuishi kwa staha Tanzania.
Akienda Morrison mwenyewe atasamehewa mara moja na kurudishwa Simba.