Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Ama kweli Heri Nguo kuraruka kuliko Akili.
Ujinga mnaoufanya dhidi ya Catholic,ni sawa Kuwaambia VATICAN wawe Serious na Tanzania.
Unaposema VATICAN Kwa Uhuni wako ili uwachafue, ni kusema ULAYA , ni Kuisema MAREKANI .
JE MNATAKA VATICAN isemwe nanyi??.
Hivi tujamaa kama tu Ludovich na wahuni wenzie, ndio wa KUHANGAIKA na CATHOLIC 🤣.
CATHOLIC hii hii ambayo Utaikuta Mpaka Saudia Arabia, Oman, UAE, Iraq, Syria, Palestine ??.
Mwigulu HAUNA AKILI WEWE .
Mwigulu Elimu yako ni zile za Kusoma Kwa kukalili ili ufaulu , ila HAUNA INTELLIGENCE YOYOTE .