GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,037
Ni mtambishaji eehNdio anayekufanya utambe hapa JF!
Swali lako hili la Kipopoma ni sawa na Kuishi na Baba yako katika Nyumba yake halafu kutokana na Bange / Bangi zako unamuuliza Yeye ni nani?Maxence melo ndio nani?
kutokujibu maswali ishakuwa ni suala la kitaifa sasa.Swali lako hili la Kipopoma ni sawa na Kuishi na Baba yako katika Nyumba yake halafu kutokana na Bange / Bangi zako unamuuliza Yeye ni nani?
Huyo Maxence Melo ni Mtani wangu mkubwa sana wa Kihaya halafu ninamkubali mno kwani Jamaa ni Genius na ni Mtu Mmoja Muungwana tu pia.Una utani mbaya chief ...ila kama inakujaaa inakataaa nipo naangalia kwa umakini
Naunga mkono hoja ...bhasi kama ni wa huko na uganda si karibu sana make wale maji unachota uganda au wa tz anachota ugandaHuyo Maxence Melo ni Mtani wangu mkubwa sana wa Kihaya halafu ninamkubali mno kwani Jamaa ni Genius na ni Mtu Mmoja Muungwana pia.
Watani zangu Wahaya nadhani Nduli Idi Amini Dada alikuwa sahihi kabisa kutaka huo Mkoa wenu uwe Mali ya Uganda kwani nyie ni Waganda pia.Bob wine ni mhaya asili yake ni pale kamachumu bukoba,,kwani melo ni mnyantuzu wa wapi vile?
The CEO and founder of jamiiforum,Ni mtambishaji eeh
Ok nimekupataThe CEO and founder of jamiiforum,
Al the way from DIT,Dar es salaam Institute of Technology,
Kumbe jamaa alipiga DIT pale, kweli nimeamin programming sio kuwa na IQ kubwa bali ni kitu inatoka damuni/inner motive. Nashangaa UDSM wapo magenius lakin hakuna kitu cha kutisha wamefanya so far.The CEO and founder of jamiiforum,
Al the way from DIT,Dar es salaam Institute of Technology,
Kwahiyo hapa na kwa haya Maelezo yako unataka Kumaanisha au Kutuaminisha nini labda kwani naona kama unakuja kisha pia unatoka kwa Hoja.Kumbe jamaa alipiga DIT pale, kweli nimeamin programming sio kuwa na IQ kubwa bali ni kitu inatoka damuni/inner motive. Nashangaa UDSM wapo magenius lakin hakuna kitu cha kutisha wamefanya so far.
Hayo maneno ya mwisho sijakuelewa vizuri unamaanisha nini, hebu soma ulichoandika then urekebishe!Kwahiyo hapa na kwa haya Maelezo yako unataka Kumaanisha au Kutuaminisha nini labda kwani naona kama unakuja kisha pia unatoka kwa Hoja.
Acha Kashfa na Dharau za rejareja. Nimemaliza!Hayo maneno ya mwisho sijakuelewa vizuri unamaanisha nini, hebu soma ulichoandika then urekebishe!
Brother, unatakiwa ueleweke ulichoandika ili nijue nakujibu vipi.Acha Kashfa na Dharau za rejareja. Nimemaliza!
Nijibu tu unavyojisikia Wewe ila naendelea Kusisitiza Kwako kuwa acha Dharau na Kashfa za rejareja. Jiulize ni kwanini nakuambia hivi na mara hii?Brother, unatakiwa ueleweke ulichoandika ili nijue nakujibu vipi.