Hivi Rd Kelly hana ndugu?

Hivi Rd Kelly hana ndugu?

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,170
Reaction score
20,202
Mzuqa

Najiuliza tu Huyu gwiji wa R&B hana ndugu wa kumsupport hata siyo kifedha tu yani hata emotional support kujitokeza hata kwenye media tu.

Wanaomsuport ni watu baki hata yule mwanamama aliyemlipia dhamana mahabusu walikutana tu safarini kwenye meli na si yeye tu wanawake wengi walinitolea kumdhamini.

Afadhali vibint viwili kati ya wale underage mama zao waliodai R Kelly alitembea nao wamejitokeza kukanusha.

Wakati Michael Jackson akipitia hali hii ya Robert tuliona ndugu zake hasa jarmaine wakimsupport sambamba na mafans.

Namuonea huruma sana R Kelly kufulia toka dollar million 150 hadi account kukaribia kuisha. Yeye anadai watu walikuwa wanamuibia.

Sasa media za kizungu wanadai hajui kusoma na kuandika hivi kweli? Basi angewezaje kumtungia na kumuandikia Michael Jackson wimbo wa you are not alone?

Fan and friends of R Kelly from Bongo
 
Sometimes ndugu nao wanaogopa kuhusishwa kwenye kesi hasa ukichukulia ni watu weusi!! sema jamaa anatia huruma sana aiseeh inaonekana wazi wanataka kumshusha tu kwa chuki binafsi...
 
Ila mimi nafikiri watu wengi maarufu hua pia wana matatizo makubwa sana. We sema kipindi wakiwa kwenye peak hua umaarufu wao unafunika yale mapungufu lakini sasa umaarufu unaposhuka ndio yale mapungufu mengine yanaanza kuonekana
 
Wanaokupandisha ndo hao hao wanaokushusha
!!!!Dah... I got million ******** hate me,I got million..40 billion ****** are loving me.....Its too late they should have done this 30 years ago...Its too late....."alitamba hivyo kwenye Facebook live ila now kinachomkuta
 
Back
Top Bottom