I icon_2000 Senior Member Joined Jul 14, 2024 Posts 193 Reaction score 276 Aug 10, 2024 #1 Habari zenu natumai mko salama Hivi radiology na nursing bora ipi ukizingatia uwezekano wa ajira? Naombeni maoni wakubwa🙏🙏
Habari zenu natumai mko salama Hivi radiology na nursing bora ipi ukizingatia uwezekano wa ajira? Naombeni maoni wakubwa🙏🙏
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 8,947 Reaction score 18,447 Aug 14, 2024 #2 Kwasasa Radiology . Ila Nurse inafaa kwa mtu ambaye yeye hana stress za haraka na anataka afike mbali zaidi.
Kwasasa Radiology . Ila Nurse inafaa kwa mtu ambaye yeye hana stress za haraka na anataka afike mbali zaidi.
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 2,328 Reaction score 4,281 Aug 15, 2024 #3 Chagua Radiology soko lake la ajira lipo vizuri.
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 1,046 Reaction score 2,477 Aug 15, 2024 #4 Kuhusu ajira bora ungeenda VETA ila sio huko utakuja nishukuru baada ya miaka mitatu
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,483 Aug 15, 2024 #5 Inategemea na Jinsia na Kabila lako hata umri pia uzingatiwe.
N njinjo JF-Expert Member Joined Feb 15, 2019 Posts 5,184 Reaction score 6,878 Aug 15, 2024 #6 feyzal said: Kwasasa Radiology . Ila Nurse inafaa kwa mtu ambaye yeye hana stress za haraka na anataka afike mbali zaidi. Click to expand... Ngazi ya degree au diploma
feyzal said: Kwasasa Radiology . Ila Nurse inafaa kwa mtu ambaye yeye hana stress za haraka na anataka afike mbali zaidi. Click to expand... Ngazi ya degree au diploma
Technologiest JF-Expert Member Joined Feb 8, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,058 Aug 15, 2024 #7 icon_2000 said: Habari zenu natumai mko salama Hivi radiology na nursing bora ipi ukizingatia uwezekano wa ajira? Naombeni maoni wakubwa🙏🙏 Click to expand... Radiology
icon_2000 said: Habari zenu natumai mko salama Hivi radiology na nursing bora ipi ukizingatia uwezekano wa ajira? Naombeni maoni wakubwa🙏🙏 Click to expand... Radiology
I icon_2000 Senior Member Joined Jul 14, 2024 Posts 193 Reaction score 276 Aug 18, 2024 Thread starter #9 njinjo said: Ngazi ya degree au diploma Click to expand... Kwa ngazi ya degree