Gavana prof Beno Ndullu, heshima kwako mzee. Kwa nilivyoisoma lugha ya mwili ya mh rais jana alitamani akutumbue palepale hadharani. Lkn nadhani kuna sauti za ushauri aliyopewa na washauri wake huko nyuma kwamba asitumbue tena mtu hadharani hasa mhusika akiwepo zilimzuia kufanya hivyo.
Ushauri wangu kwako prof Ndullu, muwahi huyu mheshimiwa kabla hajairusha barua yako saa sita za usiku ukiwa wewe unaota kukikalia kiti chako asubuhi yake. Alizishutumu PhD 11 zilizopo pale BoT zikiongozwa na ww, zilizozembea kusajiri dhahabu. Unadhani atakuacha ?
Ni ushauri tu prof.