Hivi pendo la kweli linakufaje?


Sijui nitupe baadhi ya vitu alivyo viacha
 

Pengine ni kweli
 
Sijui nitupe baadhi ya vitu alivyo viacha
Baada ya kuanua tanga kinafuata kitendo cha kugawa mali za marehemu.... Sasa wewe umeanua tanga vitu unafungia kabatini vya nini???? Wenzio wanachoma moto kama ishara ya kufungua ukurasa mpya.... Usikubali kurubuniwa na yaliyopita, huyo alikuwa wako na sasa hunae tena over. Fikiri staili ya kumsindikiza mtu kwamba itafika time mtaachana wewe urudi yeye aendelee na hamna tofauti yake... Anza upya and good life.
 
Let it go, tatizo umelikumbatia hilo penzi ndo maana linakutesa mwenzio anakula bata huko wewe bado unamuwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…