Kweli iko kazi ya NGO data search and analysis weekends ndo wanapata walengwa sana ndo hupewa extra pay kubwa.Kazi gani hio mpaka j2 au ofisi ya rais duh
Sokubaliani na dhana ya kukata ndoa, ndo uwe na akili za kutosha na msimamo ndoa kuna raha tere, ila usiogope kuacha mke akivuka mipaka yakoTeam kataa ndoa ...uzi mmeuona?
Basi kama weekeends kuna wateja ina maana siku za katikati ana muda wa kukaa na familiaKweli iko kazi ya NGO data search and analysis weekends ndo wanapata walengwa sana ndo hupewa extra pay kubwa.
Mwanafunzi...usiwaponze wakubwa zako wakati wewe bado una miaka zaidi ya 10 kudecide future yako kuhusu ndoaKATAA NDOA,
TUNZA KIBUNDA CHAKO!
Leo asubuhi nimepata wasaa wa kutembelea rafiki yangu comrade wangu wa siku nyingi, nimemkuta yuko na pilikapilika za kufua nguo zake za kesho kazini na huku anaanda breakfast.
Kumuuliza kulikoni kasema wife siku hizi anapewa overtime ya jmosi na j2 kwa hiyo anarudi saa 12 jioni, niliguna, nikajiuliza hivi pesa na ndoa kipi muhimu?
Alimkataza msichana wakazi kwasababu watoto wote 4 wako shule za bweni mpaka likizo ndo msichana wakazi ndo anaruhusiwa kuja, nyumba kubwa anakaa peke yake kama masikini mpweke, nikaona ndoa hii haina maana kama ni utelezi si masingo maza wamejaa kila mtaa kwanini nipate "psychological torture" ya kujifanya nina mke wakati naonana nae masaa tu afu usiku na amechoka mara 100 nioe wa form 4 failure ila ile dhana/matiki ya kuoe itimie.
Nimemkataza asiniandalie chai nimeshiba baada ya kuona anangaika, na muda wa stori hana nikamuaga kwasababu niliona anaona aibu kutoa nguo za mkewe kuzifua pia niliona nguo kwenye beseni za kike, looh!
Ndio, ila nikiangalia wengine wanavoteseka naogopa😅
Hata wewe ukute bado
AiseeStory yako ya mapenzi sio lazima ifanane na wengi wanaoteseka
Kazi zipo nilikuwa nafanya kazi taasis fulani yaani jumamosi na j2 mzigo na pesa unapewa yaani pesa utaoga ila mda hautoshi na kwa vile watu wanafanya kazi msaa 24 mpaka sikukuu .Hakuna kitu ka hicho.. Hakuna anayefanya kazi hivyo. Kuna jamaa linamsigina huko kazini na amekolea kisawa sawa. Waingereza wanasema.. "You're either banging her or someone else is "
Usisahau kunitagNtaleta uzi wa mrejesho 2034 huko😂
Kwaio thread yako bila kutaja single mother. Ungeamka asubuh haisimami kesho? Si useme wanawakeLeo asubuhi nimepata wasaa wa kutembelea rafiki yangu comrade wangu wa siku nyingi, nimemkuta yuko na pilikapilika za kufua nguo zake za kesho kazini na huku anaanda breakfast.