Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?

Mtu mama mtu mzima kwako,kwake na kwa wengine bado mbichi kabisa, kifuani vitu bado SAA 6 sio SAA 12.

Michirizi makalioni hamna kabisa, kwa Mwanza uzee mwisho Usagara na Kisesa.

Vipi we mkuu,hebu njoo royal pub karibu na kahungwa gesti ule supu ya jana iliyochacha.
 
Kwanza kwa nini ushindwe kujisafisha kucha zako na miguu yako mwenyewe, Mwanamke ambae anashindwa kusafisha kucha zake na miguu ni mchafu maana hata papuchi sidhani kama inasafishwa

Mwanamke nunua vufaa vyako usafishe kucha nyumbani kwako na umsafishe mumeo pia eboo

Ila mna waumr wapilr...eti namuaga kabisa mume naenda kusafishwa kucha...hahaha
 
Huwa hatuagi tukitoka kazini tunaunga hukohuko.
 
Huwa hatuagi tukitoka kazini tunaunga hukohuko.
Ndio maana nakwambia umepata mume mpole, wenzio tukitoka ofisini saa kumi na nusu tunahesabiwa muda wa kufika nyumbani kuangalia watoto, kama jam ni kubwa basi saa kumi na moja na nusu uwe nyumbani vinhinevyo kama kuna emergency lazima taarifa inayoeleweka iwepo...halafu pia mi mwenyewe nkiwaza huo muda wa kukaa kUsafishwa kucha na vifaa ambavyo kila mtu anasafishwa navyo, havichemshwi wala haviko katika hali usafi naona bora niwahi nikacheze na wanangu lol
 
Mbadilike au wabadilike?
 
Kweli kabisa hata mimi huo muda sina
 
ulisimama kwanza kusafisha macho? fahari ya macho haifirisi duka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…