Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,527
- 12,216
Stori zipo tu hata mie nilijua itafika kipindi stori zitaisha ila zinakuja stori mpya kila siku.Sasa Si Itafika Kipindi Mtakuwa Mnazirudia Zile Zile??Au Huko Kurudiarudia Ndo Utamu Wenyewe
Umeona eeeehUtumwa mamboleo!
HahahaYaan bongo kila MTU comedian basi tu 7 hrs hahahahhaa
Mmmmmh mkuu masaa Saba si ni hatari kwa afya ya sikio na ubongo wenu?Duuh we noma...mnaongea nini masaa saba? Mnakaa mbalimbali?
Kwambaaaa????Alaa kumbe
Cc Relief Mirzska nimeelewa bwana
Pita kimya kimyaNapitia comments
OkNalingana na Le Mutuz
HaswaaaaMmmmmh mkuu masaa Saba si ni hatari kwa afya ya sikio na ubongo wenu?
Daaaaaaaaahsasa kuna rafikiyangu mmoja alikua bize na kazi akanambia nichat na mchepuko wake ila maneno ananipa yeye.
ni vituko mimi siwezi
....uko wapi
....umepika nini.
....nije nikulishe
....achama nikulishe
....umelala
...umevaa nini
nilichoka pale aliposema niandike "umevaa nini"
mchepuko akasema rangi
jamaa "mhh siamini hebu tuone"
kama mapenzi ndo yako hivi mimi sijui kitu
Ndo mwamba anataka kujua mnaongea nini yani kila maraPole, mimi kila baada ya saa moja au haifiki tunachati
mazishi ya mkapa kule lupaso nayo mnayaongeleaga?