Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Jamani inanishangaza, hii si mara ya kwanza kuliona na leo nimeamua kulivalia njuga. Jamani hebu liangalieni hili, utakuta mwanamke, mdada bado hakubahatika kuolewa na ukimfuatilia kwa undani utagundua ana kazi yake nzuuuuuuri tuu,ila hana cha boyfriend wala fiancee. Cha ajabu kila cku anajivalia pete ya ndoa tena ya gharama kubwa,tena wakati akitembea anaurusha ule mkono wenye pete kwa maringo makubwa ili kila apishanaye aione. Hivi hamuoni kama hii ni kutaka kujipotezea bahati ya kuolewa au? Au wana jf mnalizungumziaje hili?
Huo ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine ya impotence na aina hiyo. Wasaidieni hao!
Hivi eeeeeeAtakuambia when to cal, how u gonna meet, cana mkimcal akakata atakwambia ujue yupo na mme wake of whivh atakuwa ni another man inline just like u.
Mwisho wa sku ana wacontrol wote as long as mnajua mnaiba? What else is there for u?
mi nadhani kwa dunia ya sasa kuoa ndio bahati ila kuolewa wala hata sio bahati kwan wadada wengi siku hizi ilo swala la ndoa hata hawatki kusikia...so mtu akivaa izo pete ni kujifurahisha