hivi nilikua niingizwe mjini?

muuza ugoro

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
334
59
watanzania niaje? muda c mrefu nilikua zangu coco nakula zangu bidhaa za TBL peke yangu huku earphne za kasimu kangu ziko masikioni nackiliza ngoma after ngoma taratiib. ghafla akaja demu m1 hv akaanza "kaka mzuri mambo?" nijmjibu, eti kakaendelea "naomba nsaidie cmu nibipu" mara akaja mdemu mwenginde akakaa kiti cha upande mwingine, nae akanipa hi, halafu wakaendelea kuni beg cmu eti wambip dereva wao aje kuwachukua waende hme oysterbay. machale yakanicheza, kwanza mademu wenyewe walivo walivo sio sura za obey, kama sio tandale kwa bbnyau basi tandale uzuri. na kama wana jeuri ya kua na dereva na gari mbona cmu zinawashnda? nikawacheki kimachale huku naendelea kusoma post zngine JF. nikawatel cmu haina vocha, subirini hapo hapo nikanunue buku 2 supamaket nakuja, msiondoke warembo, nipeni 1 minute. nikanyanyuka zangu nikachukua kibajaji fasta mpaka hme. najua walh.taka wanitoke cmu, sijui kivp lakini m sure vile videmu vijizi. wanginiibia galaxy s2 yangu shenz wale.!
 
Back
Top Bottom