G M S JF-Expert Member Mar 30, 2011 502 53 May 22, 2011 #1 Samahani wadau kuna swala nashidwa kujua pale unapompigia mtu simu afu sauti yake inatoka ikiskika kama ya mzee(kiumri) hivi ni tatizo la simu,network au kitu gani?
Samahani wadau kuna swala nashidwa kujua pale unapompigia mtu simu afu sauti yake inatoka ikiskika kama ya mzee(kiumri) hivi ni tatizo la simu,network au kitu gani?
Gurta JF-Expert Member Sep 17, 2010 2,234 531 May 22, 2011 #2 Network, next time ikitokea kata simu afu piga tena