Asante Mkuu Nimepata kitu hapa.ndio Nasoma Kozi tofauti.Uwezekano? Ndiyo inawezekana kabisa. Kwanza wadahili ni wawili tofauti, TCU na NACTE.
Pili vyuo ni tofauti, hivyo uwezo wa kufanya vyote kwa pamoja upo.
Tatizo linakuja tu kwenye commitment yako kwenye sehemu zote mbili tofauti. Je, utaweza kukimbizana na mchaka mchaka wa Vyuo vyote kwa wakati mmoja?
Nakushauri pia, kama unasoma hivyo usome katika field mbili tofauti. Mfano degree unapiga Education, lakini Diploma unapiga CO. Hizo ni kada mbili tofauti ambazo hazitaleta ualakini katika CV yako.
Ukiwa unaomba kazi sehemu moja, ile fani nyingine huna haja ya kuihusisha katika maelezo yako. Lakini kama ni field moja, itazua maswali kidogo.
Lingine ni ishu ya gharama. Kumbuka utakuwa unalipia vyuo viwili tofauti. Hivyo unatakiwa uwe vema kiuchumi.
MMhh CAS na NOAS may be hizi tume zisiwe na mawasilianoMatokeo ya form 4 diploma ya six degree
siweziKwann Mkuu we uwezii
Wakuu. Hivi ni ruksa kusoma degree na diploma kwa pamoja Vyuo tofauti.kimoja kiwe open university
Moja open university mkuuKitu rahisi kwako hapo ni kozi moja kati ya hapo iwe ni Part-Time au Open University itakuwa ni rahisi.Lakini kama vyuo vyote vitakuwa ni fulltime kwakweli naona kama ni kitu kigumu,japo sijajua wewe umejipangaje