Mtoa mada kwa jinsi ulivyoileta ni kama vile limekukuta. Hili swali ni muhimu sana kwa wanamahusiano/kapo maana limekuwa likichangia katika kuumizana. Mie nina mtazamo tofauti kidogo.
Pamoja na kwamba kinadharia ni ukweli kuwa wote tunatakiwa kusacrifice sawa lakini ni kapo chache sana ambazo kuna uwiano ulio sawa asilimia 100 kwa mia. Kuna zile ambazo mwanaume ndie anasacrifice sana kuliko mwanamke na nyingi ambazo mwanamke ndo husacrifice sana than mwanaume. Kinadharia ni rahisi kusema na kuupport but kivitendo na hali halisi bado ni ngumu kupata uwiano ulio sawa. Cha muhimu tu ni kwa mwanamke/mwanaume anayependa kiukwelii kuwa na akili nzima yaani afall head over heels but with Free brain.
The One who love the least, controls the relationship: Kwa kuwa anajua unampenda zaidi ya yeye anavyokupenda, yeye kashika mpini wewe umeshika makali akitaka usacrifice kazi, shule, friends e.t.c utasacrifice tu... unless you spared your brain a little to rescue you!
phd gan kakajambaz?We rose acha kuringa na hiyo Phd yako.
We rose acha kuringa na hiyo Phd yako.
mmmmmmh!Kweli kumpata mwanamke wa kuoa nyakati hizi ni kazi!
..........tafadhali Rose1980 jambazi atakufundisha na mambo mengine yasiyostahili......naomba nikusindikize nihakikishe usalama wako.phd gan kakajambaz?
nataka unifundshe ujambaz vip nianze ln?
Mtoa mada kwa jinsi ulivyoileta ni kama vile limekukuta. Hili swali ni muhimu sana kwa wanamahusiano/kapo maana limekuwa likichangia katika kuumizana. Mie nina mtazamo tofauti kidogo.
Pamoja na kwamba kinadharia ni ukweli kuwa wote tunatakiwa kusacrifice sawa lakini ni kapo chache sana ambazo kuna uwiano ulio sawa asilimia 100 kwa mia. Kuna zile ambazo mwanaume ndie anasacrifice sana kuliko mwanamke na nyingi ambazo mwanamke ndo husacrifice sana than mwanaume. Kinadharia ni rahisi kusema na kuupport but kivitendo na hali halisi bado ni ngumu kupata uwiano ulio sawa. Cha muhimu tu ni kwa mwanamke/mwanaume anayependa kiukwelii kuwa na akili nzima yaani afall head over heels but with Free brain.
The One who love the least, controls the relationship: Kwa kuwa anajua unampenda zaidi ya yeye anavyokupenda, yeye kashika mpini wewe umeshika makali akitaka usacrifice kazi, shule, friends e.t.c utasacrifice tu... unless you spared your brain a little to rescue you!
Nawashukuru wote mliochangia mada hii.MwanajamiiOne ni kweli kabisa yamenikutaa..unajua mimi sikujua kama mwanamke ndio huwa anatakiwa kusacrifice, sasa ilipotokea natakiwa kuacha kazi na kila kitu ili niende anakokaa mchumba, mimi nikasema tujaribu kuangalia kipi kitakuwa na manufaa kwetu, sasa naona nimekosea kwa sababu mchumba kakasirika kaona kama mimi sitaki kwenda huko na mengine mengi..lakini kwa ukweli nataka kwenda huko ila nilikuwa nataka kweli tuangalie kiundani hasa nini kinatufaa, sasa nimebaki nimeduwaa sijui hata la kufanya kwa sababu mpenzi anaona kama mimi nilikuwa sitaki kwenda.Yamenikutaaa jamani
Pole mydia ila sikulaumu. I once was there at the very point and believe me Sashay it costed me sana tu. Kaa na mpenzio mweleze alternatives zilizopo ili apime kama ziko applicable. Siku hizi si kama zamani ambapo mke hulazimika kuacha kazi na kumfuata mme... imekuwa ngumu na ndio maana hata ile sheria za kikazi kuwa mke anatakiwa ahamishwe kufuatia alipo mumewe haizingatiwi sana. Watu wanaishi nchi tofauti kwa ajili ya kutafuta but mnakuwa na utaratibu maalumu wa kukutana. KWako inawezakuwa ngumu kwa kuwa ndio mnaanza maisha ni muda muafaka kwa wawili ninyi kuonyesha mapenzi kwa kila mmoja so pima uwiano wa kazi na mpenzio kisha amua. Ila jitahidi kumwelewesha whatever alternative you think can be possible ...........kumbuka pia kutumia lugha ya upole na usimweleze kama vile unamfundisha ... no mfanye aone kama unamkumbushia tu alivyovisahau... hawa wenzetu bwana they are glasses should be handled with care.. ule uanaume wanaokuwa in it huwafanya waamini kuwa mnapopishana lugha na wake zao ni ishara ya kudharauliwa hata kama nia ni kujenga.........so be careful na ujue wapi pa kutoa hizo suggestions sio katoka kazini hata glass ya juice haijashuka basi bi dada washika kiuno na kuanza oh sahau ntaachaje kazi , mie nimesomeshwa na wazazi wangu sijui a, be, chee....itakula kwako mpenzi. Mtangulize na MUNGU pia.
Kuwa mbunifu.
Nakutakia kila la kheri sweetheart
Dah!! Leo umekunywa valuu ngapi umezitendea haki hii lecture ya leo nimeikubali ngoja nimuite Eliza akuongezee round nyingine halafu mwambie bili ije kwangu

hahahah!hahaa!! stak mie kusindikizwa na wewe..wewe utanidokoa ata kabla sjafundishwa uo ujambazi.....stak mie!!!!..........tafadhali Rose1980 jambazi atakufundisha na mambo mengine yasiyostahili......naomba nikusindikize nihakikishe usalama wako.
thaaax thaax thaaaaaax sana !!!Rose i love your style! huwa nikioa sms zako nacheka sana.
Acha uoga...........yaani unaogopa kupewa ulinzi, haya!!!!hahahah!hahaa!! stak mie kusindikizwa na wewe..wewe utanidokoa ata kabla sjafundishwa uo ujambazi.....stak mie!!!!
ngoja kwanza nifundshwwe ujambaz then we wl tok abt masindikizo yako!!