Yan hata hujafurahia kugegedwa?
Ukishindwa kufuata ratiba kila kitu kitakupotezea muda na utakuta unashindwa kutelekeza majukumu yako na kulaumu kila kitu.
JIPANGE.
Huyo Jide unayemtolea mfano kamng'ang'ania Gadner kama kupe, japo alikua anapewa vipigo dailyKutafuta!!! Wote majanga mpaka naona wananitoa kwenye focus ya maisha tuuu!!!!
Nikiwa na pesa watakuja tuu wenyewe tuu uoni jide!!
Salaaaaaa wana MMU
Miss you all much much!!!
Narejea hapo juu!!!
Nimekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka kadhaa sasa!!!!
Ila sijaona nilicho faidika na haya mahusiano zaidi ya kurudishwa nyuma na hawa the so called men!!!
Mpaka nimeona sasa bora nipumzike niangalie vitu vitatu tuu katika maisha yangu, nayo ni maombi, kazi na kusaka pesa tuuu!!!!!
tushirikishane uzoefu wako katika haya mahusiano ya kimapenzi!!!!!!!
Mie kwangu imekuwa ni waste of my precious time which i will never be able to recover!!!!!!!

Hujatendwa wewe!!!!
Watu mpaka wa fail masomo!!!!!
Hujapenda bado ile ya ku risk it all!!