Hivi ni kweli baadhi ya watu ukiwa nao kwenye mahusiano wanaleta nuksi na mikosi?

Afisa Muuguzi

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
215
173
Kama kichwa kinavyoeleza.

Kumekua na kasumba au dhana fulani ambayo imejengeka katika jamii kuwa kuna watu ukiwa nao kwenye mahusiano basi wanaweza kukusababishia mikosi au nuksi..

Hii namaanisha kwamba kijana wa kiume au binti wa kike kuna muda unatakiwa kuangalia aina ya watu wa kuwa nao katika mahusiano..

Mathalani mwanaume unaweza ukawa upo vizuri kiuchumi ikatokea ukaingia kwenye mahusiano na mwanamke fulani basi baada ya muda unajikuta unaanza kufilisika mara mambo hayakuendei kila kukicha mabalaa hali inayokupelekea kuhisi labda mtu ulienae ndio kisababishi..Na kwa wanawake pia kinyume chake.

Najua wengi wamewahi kusikia hii kitu au wengine imewahi kuwatokea japo sina hakika kama ni ukweli au maneno tu..

Wana MMU hembu tupeni uzoefu katika hili je? Ni ishu ambayo ipo au porojo tu za watu wasiopenda maendeleo..

Mshana Jr Sky Eclat joanah Extrovert Zero IQ Kingsmann
 
Hili ni kwel mfan kwa kaka yangu akimuudhi mkewe atayumba sana kimaisha,lakini mkewe akifurah jamaa ata haelewagi dili zinatokaga wapi....juz hap jamaa kazaa nje tu,mtoto kazaliwa leo kesho yak kapata ajali nusu afe,ikabid akatubu tu mwenyew kwa mkewe kamuelewa saiv their ok
 
They are - their
 
Duh kweli sio poa hapo wataalam wanasemaga nyota zao zimeshabihiana nyota ya brother ako inaitegemea ya huyo shemejio katika upande wa riziki. Nafikiri Mshana Jr na Rakims wanaelewa vizuri
 
Ni kweli ndugu...!!hata mimi nakumbuka nilikuwaga na msichana....nmemaliza chuo ajira hakuna

Nkafungua kaduka...haliendi yaani...!
Nikajibana nkafungua biashara nyingne pemben niachane na duka

Ilikuwa biashara ya Cd....ikawa haiendi
Kabisaaa....faida siioni

Bahati nzuri tukakwaruzana tkaachana

Baada ya hapo baraka ndo zkaanza...biashara ile ile ya duka nloidharau nd ikanipa chumba cha kupanga...na mazaga kibao ndan
Inanipa chakula nkitakacho
Faida na pesa znakuja japo sijui zinatoka wapi

Juzi amenitafuta ametaka turudiane....kwakweli nmemblock kila sehem
Staki haata mazoea nae
 
Pole mzee inabidi umpe tena nafasi tuone itakuaje hahah
 
Back
Top Bottom