Hivi ni kweli kofi la mpenzi haliumi?

Hivi ni kweli kofi la mpenzi haliumi?

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
12,355
Reaction score
23,084
Habari wana JF

Hii kauli imenifanya nikumbuke mbali wakati nasoma.
Kwanza kabisa hii kauli ilinifanya nipigwe makofi sana wakati nasoma secondary (O level).

Kipindi hicho unakuta umemzimia msichana alafu kumwambia inakuwa shida, unapangilia maneno yako vizuri ya kumwambia ukija kukutana naye umesahau unaishia kumshika chuchu au unambonyeza kidogo chini ya mbavu anashtuka. Kitakachofuata hapo ni bonge ya kofi la mgongoni na linauma kinoma lakini we unajifariji tu kwa kusema Kofi la mpenzi haliumi.

Kumbuka hapo hata hajawa mpenzi wako ndo kwanza unamfukuzia sema njia unazotumia ndio sio, lkn wewe unajidai kumwita mpenzi.Unarudi nyumbani jioni mgongo unawaka moto umezabwa makofi ya haja alafu hukomi na kesho tena unarudia.
Najaribu kuimagine tu ndo ingekuwa saivi unizabe kofi nakurudishia bora uninyime tu hyo papuchi aisee

Kama na wewe hii kauli iliwahi kukuponza ukala makofi yanauma huku unavumilia hebu tuambie ilikuwaje?
 
makofi zamani siku hizi mpe tu hela then mshushie kipigo heavy wala hatahama
 
Bishanga Bashaija alisema hayo maneno baada ya kuwekewa limbwata lililotakiwa limfikie mwingine lakini likampata yeye.
So alipokea hilo kofi akiwa analazimisha kupendwa.

Ukiona umekula kofi na akili yako inakwambia haliumi, ni kwa kua umelishwa limbwata na unalazimisha mapenzi.
 
Kuna dem mmoja wa kizungu nilikuwa niko nae sasa katika utani vile namtania kwamba hawezi kutamka maneno ya kiswahili vizuri akawa ananuna mara anidekee mara anipige vijikofi kwenye kifua, ni kama romantic flani ivi...
So makofi ya romantic huwa hayaumi cuz hata yeye hakupigi kwa sana
 
Duuh kofi kofi aiseee kama haliko romantic maumivu ni yale yale kama alivyozungumza@STUNTER hapo juu!!!
 
mi nachojua ni yale makofi ya kitandani muda wa kula papuchi sijui yanawaumizaga
 
Back
Top Bottom