Wasafi wako wengi ndani ya CCM, kama vile Alhaj Jecha!Ndugu zangu tusisahau tumefikishwa hapa na CCM. Tunalia ufisadi wakati CCM ndo inazalisha mafisadi na kuwakumbatia,tunalia rushwa wakati ni zao la CCM, tunalia rasilimali zetu kuporwa na wazungu wakati mshenga ni CCM.
Watanzania tumelogwa na nani? Kila uchafu anaolalamikia rais wetu anasahau kuwa ni zao la CCM! Inauma sana tunakuwa wasahaulifu na kumlaumu muumba wetu. Tubadilike Watanzania!!
Taja angalau msafi kwa 100% mmoja unayemfahamu.................Ndugu zangu tusisahau tumefikishwa hapa na CCM. Tunalia ufisadi wakati CCM ndo inazalisha mafisadi na kuwakumbatia,tunalia rushwa wakati ni zao la CCM, tunalia rasilimali zetu kuporwa na wazungu wakati mshenga ni CCM.
Watanzania tumelogwa na nani? Kila uchafu anaolalamikia rais wetu anasahau kuwa ni zao la CCM! Inauma sana tunakuwa wasahaulifu na kumlaumu muumba wetu. Tubadilike Watanzania!!
Wakristo wanaamini yesu ni Mungu , bado alimuomba baba yake katika kukamilisha kazi yake duniani Magufuli yu nani mpaka asiombewe kwa Mungu? Tuzidi kumuombea tu, tutafika. Mafisadi yameshatimkia upande wa pili.mkuu,tumeambiwa safari hii tunae Kiongozi ambaye ni chaguo la Mungu sio chaguo la ccm japo cha ajabu tunaambiwa tena tumuombee kwa Mungu huyo huyo aliyemchagua! tusubiri,pengine tutafikishwa kwenye ile nchi ya ahadi.
Ndugu zangu tusisahau tumefikishwa hapa na CCM. Tunalia ufisadi wakati CCM ndo inazalisha mafisadi na kuwakumbatia,tunalia rushwa wakati ni zao la CCM, tunalia rasilimali zetu kuporwa na wazungu wakati mshenga ni CCM.
Watanzania tumelogwa na nani? Kila uchafu anaolalamikia rais wetu anasahau kuwa ni zao la CCM! Inauma sana tunakuwa wasahaulifu na kumlaumu muumba wetu. Tubadilike Watanzania!!
Mnatapatapa tu, hizo ni hoja mfilisi. Lowassa ndiye aliwajengea watu uwezo wa kuiba na wasichukuliwe hatua. Hizi zama za Dr. Magu mtasubiri sana, kwanza Rais anahakikisha anasambaratisha mtandao wa rushwa alioujenga Lowassa.Mkuu CCM ni wasafi kama malaika issue za Escrow Epa , Lugumi n.k ni za Wapinzani
Tehe tehe tehe tehe, kwa hiyo UKAWA walimchota msafi Lowassa kutoka kisima cha mafisadi? Maneno mengine ni ya kuonea aibu kabisa hata kuyatamka. Mkuu acha kuwa-enjoy UKAWA.Msafi alikuwa Lowassa peke yake
Mabadilikoo Lowassa
Lowassa mabadiliko
Mkuu CCM ni wasafi kama malaika issue za Escrow Epa , Lugumi n.k ni za Wapinzani
mkuu, mbona huko upande wa pili hadi sasa hatujaona fisadi yeyote aliyeshitakiwa achilia mbali kukamatwa? au ni mafisadi wa kufikirika? au wana kinga ya nani?Wakristo wanaamini yesu ni Mungu , bado alimuomba baba yake katika kukamilisha kazi yake duniani Magufuli yu nani mpaka asiombewe kwa Mungu? Tuzidi kumuombea tu, tutafika. Mafisadi yameshatimkia upande wa pili.
na bila kumsahau mzee wa chenji ya rada ambae kwa jinsi alivyo malaika ameongezewa vyeo na nyadhifa lukuki.Msafi alikuwa Lowassa peke yake
Mabadilikoo Lowassa
Lowassa mabadiliko
Ccm hakiwezi kutoa mtu msafiNdugu zangu tusisahau tumefikishwa hapa na CCM. Tunalia ufisadi wakati CCM ndo inazalisha mafisadi na kuwakumbatia,tunalia rushwa wakati ni zao la CCM, tunalia rasilimali zetu kuporwa na wazungu wakati mshenga ni CCM.
Watanzania tumelogwa na nani? Kila uchafu anaolalamikia rais wetu anasahau kuwa ni zao la CCM! Inauma sana tunakuwa wasahaulifu na kumlaumu muumba wetu. Tubadilike Watanzania!!
Tutafika wakati tuna manundu na michubuko mwili mzimamkuu,tumeambiwa safari hii tunae Kiongozi ambaye ni chaguo la Mungu sio chaguo la ccm japo cha ajabu tunaambiwa tena tumuombee kwa Mungu huyo huyo aliyemchagua! tusubiri,pengine tutafikishwa kwenye ile nchi ya ahadi.
Jecha yupi huyo huyo wa tume?Wasafi wako wengi ndani ya CCM, kama vile Alhaj Jecha!